Yanayojiri uchaguzi mdogo kata ya Chang'ombe. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanayojiri uchaguzi mdogo kata ya Chang'ombe.

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by NGOWILE, Apr 1, 2012.

 1. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wanabodi nimeamua kuanzisha thred hii ili kupeana taarifa juu ya yanayojiri uchaguzi mdogo kata ya Chang'ombe manispaa ya Dodoma.Kifupi watu wana hamasa na wanajitokeza kiasi katika kupiga kura.
   
 2. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Vijana wa Cdm wamejipanga katika vichochoro kuhakikisha hakuna hujuma.
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,168
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  wasijitokezee tu bila keleta mabadiliko...wachague mtu ambaye atasaidiana nao kulete maendeleo
   
 4. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hamasa ya mabadiliko ni kubwa sana tofauti na chaguzi nyingine zilizopita.
   
 5. N

  NGOWILE JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 454
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  vituo vipo 32.
   
 6. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Kila la kheri wakuu!! kufanya kitu kile kile kila wakati ukitegemea matokeo tofauti ni ndoto!! Msifanye makosa ya kurudia kitu kile kile!!
   
 7. S

  STIDE JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Sep 1, 2011
  Messages: 998
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ubarikiwe sana kwa updates!!
  "Ee Mwenyezi Mungu nyoosha mkono wako wa baraka uiguse CHADEMA!!"

  Wote semeni "AMENI!!!"
   
 8. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tuombe mola wagogo nao wabadilike kwani miaka mingi wametumiwa na magamba bila kujijua.
   
 9. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,052
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Thanks. Dodoma pandeni mbegu ya mabadiliko ili mpate ukombozi.
   
 10. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa taarifa za awali tujuze mgombea wa wadema anaitwa nani na wa ccm.
   
 11. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Nadhani ulimaanisha Chadema, Tuko pamoja sana!!
   
 12. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 16,772
  Likes Received: 2,958
  Trophy Points: 280
  Ameeeeeeen!!!!!
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,841
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  vp green guard wameshawasili
   
 14. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 767
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  ilo pia ni lamsingi
   
 15. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nasikia kuna wanafunzi wa udom wamefukuzwa baada ya kujihusisha na kampeni za chadema
   
 16. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Kwa Dodoma sina matumaini ya Ukombozi kwa sasa. Huko bado ni CCM licha ya umasikini wao (Mtaji wa CCM)
   
 17. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 20,586
  Likes Received: 13,686
  Trophy Points: 280
  Mbona kimya Dodoma?au ndio ule mwendelezo wa giza la ufahamu kwa wapiga kura?
   
 18. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Dodoma kwa Lusinde
   
 19. Mkomamanga

  Mkomamanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 818
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Mabadiliko Dodoma yataletwa na UDOM, amkeni kuleta mabadiliko
   
 20. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,902
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hakuna matokeo hadi sasa, Lol! kweli CDM dodoma mpo au ndiyo mkwanja ulishatembezwa?
   
Loading...