Mkuu hata ITV wamerusha hiyoSource please
Kweli umehamasika sasa mbona taarifa haijitoshelezi kiongozi??wengine tupo mbali na eneo la tukio hebu tujuze vzr.Watu wazima na vitambi vyao kuwekwa chini ya ulinzi kwa "uchakachuzi" wa kutaka kuingiza kura "feki" kwenye kituo Meru East.
Aibu, aibu yao na mkuu wa kaya milele. Huu ndio ukombozi wa kweli! CDM, peoples power..
.mbona hujaionyesha hiyo aibu acha kusumbua watu??
.
Imagine we ni mtu mzima above 45 then unakamatwa na skendo ya uchakachuzi na unawekwa chini ya ulinzi. Sio aibu hiyo? Au na wewe ni magamba
.Kina nani hao? Mbona mnaleta taarifa huru huku mkiwa mnaogopa?