Mambo 10 wananchi wa Arumeru walivyowaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo 10 wananchi wa Arumeru walivyowaza

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by makeyzan, Apr 2, 2012.

 1. makeyzan

  makeyzan Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  1. Waliwaza nani atakayejuja kuikomboa seemu yao?
  2. Waliwaza nanai atakeyesema anajituma kwaajiri yao na wao wakumkubali?
  3.Waliwaza nani aliyemwema wamchague na akawakejeri wanzake kwamba yeye ni mwema?
  4. Waliwaza nani watakaye mwamini wakakampa seemu yao na akatetea mafanikio yao?
  5.Waliwaza nani kiongozi watakaye mpenda na kumpigia kura nae akawapenda wananchi na kuwapa mafanikio?
  6. Waliwaza hata waliyempenda wakampa kura waliishia kujilaaumu kwa maamuzi yao mabaya?
  7. Waliwaza mawazo niliyokuwa nayo sasa kuusu mustakabali wa maisha yangu na na serekari yangu isiyoeleweka?
  8. Waliwaza kwanini walipoteza kura yao 2005 na 2010 nasasa wanajuta?
  9. Waliwaza nani atakaye wasaidia katika hii serikari pindi wanapokuwa na shida au matatizo ya kijamii.
  10. Waliwaza kufanya maamuzi magumu katika maisha yao.


  JE MWISHOWE NINI KIMETOKEA MWANAJAMII MWENZANGU?????
   
 2. nexus white

  nexus white JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 14, 2011
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  arumeru kwisha kazi sasa majeshi yahamie SEGEREA
   
 3. bullet

  bullet JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kuna kitu kingine ambacho wana Arumeru wamekiona! Hakuweza kumpigia kura mtu ambaye hakumpigia baba yake kura(2010) maana yeye ni mpiga katika jimbo jingine lakini zaidi hata yeye mwenywe hakujipigia kura! Kumpa kura ilikuwa ni kama kujikomba kwake!
   
Loading...