ccm ccm ccm ccm

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
hivi wana jf c mnajua kiherehere cha ccm kutangaza matokeo humu jf kama ilivyokuwa igunga leo wako wapii akina nape na matokeo yao wale magamba ambao hawaamini kilichotokea ambao wamo humu jf gepu kubwa la maji ya chai ndo limesababisha jimbo liende chadema na ndo mana hakuna hata gamba moja linalokuja na matokeo humu ndani kimyaa kabisa na matusi yaoo ...yaani leo kulala kesho leo ni mkesha tu hapa nipo na chupa yangu ya maji maana arumeru ni mabomu na naona yanaweza kwisha haya mabomu hapo ndo maafa yatakapoanza coz wataanza kutumia risasi za moto
 
tuwekeeni picha hata kama hazionekani vizuri,komaeni mungu yupo pamoja nanyi katika kutetea mnachopenda
 
Mungu yupo upande wa haki atawalinda makamanda, tupo nanyi hadi mwisho wa dahari. kila mkipost mtaona majibu mara kuonyesha tupo nanyi!!!
 
Wakina Magamba...Wameshakufa...wanasubiria msiba kutangazwa....NAPE, LOWASSA...Maji machafu-LUSINDE na akina SENDEKA bado wanakimbia mnuko wa matendo yao wenyewe...na CCM ndio moto utawawakia ndani kwa ndani...watakimbiana..!
 
Wakina Magamba...Wameshakufa...wanasubiria msiba kutangazwa....NAPE, LOWASSA...Maji machafu-LUSINDE na akina SENDEKA bado wanakimbia mnuko wa matendo yao wenyewe...na CCM ndio moto utawawakia ndani kwa ndani...watakimbiana..!

Ha ha ccm walianza na matusi wakamaliza na matusi na matokeo yake ndo hayo yanawafanya mdondokee pua
 
  • Thanks
Reactions: Ptz
Mkoa wa Arusha sasa utaporomoka jumla kimaendeleo.

Arusha mjini hali ni hiyo, hata watalii siku hizi wamepungua sana sababu ya Chama cha Demokrasia na Maandamano.

Kama Meru ndo imeingia kwenye himaya yao, basi tujue tumekwisha. Hatujawahi kupigwa mabomu, leo uhuni wa Mjini Arusha umehamia kwetu.

Laana gani imewapata vijana wa Meru na kuchagua chama cha shari?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom