CCM wapo tayari kumtangaza Nassari?

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
378
kutokana na matokeo yaliyotoka mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ccm hawana chao, sasa swali linakuaj kuwa ccm wapo tayari kumtangaza nassari kuwa kashinda? Lowasa anajulikana na kwa kutoa toa mijihela kila sehamu na sasa hivi ni dhahiri kuwa akili inafanya kazi ili mkwe wake atangazwe...
kweli watamytangaza nassari au watacheza faulu kama kawaida yao?
 
itabidi wamtangaze....kama walivyomtangaza Lema wakati ule....
 
CCM wana option moja, ama watangaze matokeo kama yalivyo kwenye vituo vya kupigia kura au wasubiri wananchi waingie barabarani - nchi nzima barabarani. In other words hana option - watangaze matokeo.
 
kuna askari wengi waliletwa kutoka moshi hamjui?
 
Kwa kampeini walizotumia CCM kwa msaada wa "Mh." Lusinde, kumtangaza Siyoi mshidi itakuwa dharau kubwa sana kwa wana Arumeru mashariki.
 
kutokana na matokeo yaliyotoka mpaka sasa hivi ni dhahiri kuwa ccm hawana chao, sasa swali linakuaj kuwa ccm wapo tayari kumtangaza nassari kuwa kashinda? Lowasa anajulikana na kwa kutoa toa mijihela kila sehamu na sasa hivi ni dhahiri kuwa akili inafanya kazi ili mkwe wake atangazwe...
kweli watamytangaza nassari au watacheza faulu kama kawaida yao?
Naona mzee imekuuma sana unajitahidi kujifariji.
 
Utu waanze tu kumtangaza! Hivi mnawajua wameru? Wale ni wachoma nyumba wataua mtu! Kama kweli ccm wanampenda huyo i dont marry wao bora wasimtangaze coz atamfuata baba yake soon!!!!!!!!!
 
weeeee wamasai wameshuka Arumeru wakiwa na bodaboda wanapakiana wanne wannne,Mdau kanijulisha mjini arumelu kumefulika tena sana uwezi amini vijana aieleweki wametoka Arusha au moshi,wanajua matokeo KUWA cdm imeshinda sasa kazi wanayo.Ikumbukwe chumba cha kutoa matokea akuna kiongozi wa ccm au mgombea wametuma wakala wawili watagoma kusaini fomu na mshindi kutangazwa
 
CCM wana option moja, ama watangaze matokeo kama yalivyo kwenye vituo vya kupigia kura au wasubiri wananchi waingie barabarani - nchi nzima barabarani. In other words hana option - watangaze matokeo.

actually umesema moja halafu utakoa options mbili and then ukazichukua hizo mbili na kubaki na zero options

LOL:high5:
 
Back
Top Bottom