Mhe. Hyness Kiwia (Ilemela) yupo hoi Hospitali ya Muhimbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mhe. Hyness Kiwia (Ilemela) yupo hoi Hospitali ya Muhimbili

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by PETERSON, Apr 1, 2012.

 1. P

  PETERSON Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya kushambuliwa na Kundi la watu wasiojulikana jana usiku, Mheshimiwa NYNESS KIWIA amehamishwa kutoka BUGANDO na kupelekwa MUHIMBILI kwa matibabu zaidi.

  Mheshimiwa alivamiwa na watu waliokuwa na mapanga, marungu, na silaha zinginezo, wakitokea ndani ya magari mawili na kumzingira Mbunge alipokuwa akirejea kutoka katika harakati za uchaguzi mdogo wa Kata ya KIRUMBA Mwanza.

  Hata hivyo Mhe. aliwasiliana na Mhe. WENJE na MACHEMLI,ili wafike kumsaidia, baada ya kujaribu kuwasiliana kwa muda kuwaita Polisi bila mafanikio.

  Mhe. Kiwia amepata majeraha makubwa kichwani na mgongoni, pamoja na michubuko iliyotapakaa mgongoni na sehemu zingine mwilini, huku jicho moja likiwa na uoni hafifu.

  SOURCE; TBC 1 News!
   
 2. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  hii ni habari mbaya kuisikia ili hali watu tunasubiri ushindi wa kishindo wa Arumeru na kata kadhaa Mungu amponye haraka arejee kulijenga taifa letu
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Jamani ndugu zangu watanzania wapi tunakoelekea kama Taifa? Hivi nani anatuongoza? Tumekosea wapi? upi undugu amani umoja na mshikamano. Akili na busara zetu tumepeleka wapi?
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kuna wazee wetu pale tutapata update ya afya yake akishafika. Mungu yuko upande wetu.
   
 5. amkawewe

  amkawewe JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 2,029
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ccm wana nafasi? Pole sana
   
 6. e

  elly1978 Senior Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 180
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  pole sana Kamanda, nimeamini ukombozi wa kweli lazima damu imwagike
   
 7. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  mi naona wanadhidi kuthibitisha kwamba wao ni watu wa kubwabwaja kuhusu amani lakini matendo yao hamna kitu.
   
 8. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Matendo yao hayaendani na wanachohubiri majukwaani
   
 9. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Mimi ELIAHKAMWELA ninaapa kwamba nitajilipiza kisasi dhidi ya magamba haya muda wowote nitakao pata nafasi!
   
 10. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,357
  Likes Received: 2,987
  Trophy Points: 280
  Quicky recover
   
 11. u

  ungonella wa ukweli JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 4,227
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo ndo nchi ya amani na utulivu, majigambo tu! Hatutakuwa tofauti na rwanda!
   
 12. sabasita

  sabasita JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  aman na utulivu, my ass
   
 13. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  76 whats up wit ur ass.! Get well soon highness, we won.!
   
 14. k

  kajunju JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Pole mh. Kiwia. Mungu yu pamoja nawe. Eeh mungu,mponye mbunge huyu ili aibu iwapate waliotenda jambo hili
   
 15. e

  ellycool New Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Get well soon!
   
 16. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Dah i cant believe ths...ccm must pay for this!! Get wel soon mh
   
 17. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Pole sana mpiganaji wetu damu iliyomwagika ndo itawagarimu hao waliofanya hicho kitendo na hata waliowatuma na wote walioshiriki kwa namna moja ama nyingine
   
 18. MD25

  MD25 JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 3,078
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ilo la mh ni 'tone' la damu tu. DAMU yenyewe ITAMWAGIKA, na nyingi itakuwa ya ccm...
   
 19. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Get Well Soon Kiwia
   
 20. t

  tubadilike-sasa JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 677
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  You are so right,you helped me vent out my frustration
   
Loading...