Arumeru sio Korea, baba afariki mtoto arithi jimbo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Arumeru sio Korea, baba afariki mtoto arithi jimbo

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Imany John, Mar 11, 2012.

 1. Imany John

  Imany John Verified User

  #1
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Ningependa kutumia haki yangu ya kikatiba kuwashauri wana arumeru wachague mgombea sahihi,hatutaki jimbo lenu liwe korea,eti baba afariki na mtoto arithi?

  Tulianza na mungu,tutamaliza na mungu!
  Aluta kontinyua!
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mapambano bado yanaendelea.......Wameru fanyeni maamuzi sahihi.....
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mhmh, kumbe wapambanaji ni wengi, hope there will be light at the end of the tunnel...
   
 4. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #4
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Pamoja daima..chadema.tanzania leading political party,upo sahihi.NASKIA KULE BUNDA MTOTO WA BW usingizi anapiga jaramba naye agombee 2015.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,811
  Likes Received: 36,874
  Trophy Points: 280

  Huyu mgombea wa CCM atajuta kumsikiliza baba mkwe wake aliyemshauri kujaribu kuvaa viatu hivi.
  Tulianza na Mungu, tutamaliza na mungu.
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mtoto wa Sokwe/ Mzee usingizi ni mnene sana, atakufa kwa presha za uchaguzi kwani watu wa Bunda wamechoka kabisa hawa jamaa wa magamba
   
 7. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #7
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  pliz mwenye japo picha ya mtoto wa bw wahasira atuwekee..watakuwa mataison haooo
   
 8. Micro E coli

  Micro E coli JF-Expert Member

  #8
  Mar 11, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 943
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Marehemu baba Sioyi sijui Naoa siyule Zitto alisema bungeni anajibu majibu ya hovyohovyo wanaleta utawala wa kifalme Arumeru sio Uk au Uarabuni hawa watajuta kuweka pandikizi lao, wanaanza kuota kama mgomba ule uliozaa mkungu ukishakatwa maotea ya pembeni nayo yanaachiwa kutawala eneo lenye rutuba mpaka yatakapo toa mkungu wandizi na kukatwa ndio mbinu za maccm za siku hizi za kuweka watoto kututawala hii haikubaliki tumeshashtuka nikuwapiga chini tu.
   
 9. Imany John

  Imany John Verified User

  #9
  Mar 11, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 2,777
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 180
  Nadhani ushauri umechukuliwa,na wataufanyia kazi
   
 10. T

  Topical JF-Expert Member

  #10
  Mar 11, 2012
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Mungu yupi (yesu) au Allah?
   
 11. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #11
  Mar 11, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Tulianza na Mungu, Tutamaliza na Mungu.
   
 12. B

  Bweri Member

  #12
  Mar 11, 2012
  Joined: Aug 26, 2011
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mungu ni moja tu rafiki hayo mengine no mbwembwe tu!sawa na anaetaka kwenda dar p,upite singida,nairobi,upite arusha lkn mws wa siku nikufika dar!
   
 13. I

  Ichobela JF-Expert Member

  #13
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  CDM ni furaha kwetu coz ni sawa na kupita bila kupingwa,HAKI YA MTU HAIPOTEI IT IS JUST A MATTER OF TIME......dogo anza kutembea kama MP coz there is no way mkenya atawala Arumeru na Arumeru si Korea au Botswana....
   
 14. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #14
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Mbowe alirithi wenyekiti wa chadema kutoka kwa mwanzilishi na baba mkwe wake Edwin Mtei, Mama Rose Kamili mke wa DR Slaa wa zamani ni mbunge viti maalum chadema pamoja na Lucy owenya ni mtoto wa ndesamburo. Ni mambo ya kawaida kwenye siasa kama wanakidhi vigezo na sifa

  kumbuka pia kwamba John Mnyika ana undugu wa karibu na Mbowe, Zitto kabwe na mama yake mzazi na Tundu Lissu na christina Lisu mbunge wa viti maalum chadema ni dada yake na Tundu Lissu.
   
 15. M

  Mr.Busta JF-Expert Member

  #15
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 672
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Tulianza na mungu tunamaliza na mungu.
   
 16. m

  mzizi dawa Senior Member

  #16
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ndio,wao wana pesa walizo waibia wavuja jasho wa tanzania sisi tuna mungu asie shindwa na lelote.waliba kura 2010,tukasema atuendi maakamani tuna mkabizi mungu,mwenyezi mungu aka sikia sala zetu.
   
 17. micksawe

  micksawe Member

  #17
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Hawana pesa ila mnazidiwa sera tu. Mbona mnatafuta sababu mapema?
   
 18. m

  mzizi dawa Senior Member

  #18
  Mar 11, 2012
  Joined: Mar 1, 2012
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuna waamini simajambazi kama magamba.
   
 19. m

  manyani Member

  #19
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ati mgombea wa magamba ametoga masikio/sikio??? hivi ni mila ya kwetu hiyo jamani??? napenda kujuzwa:A S 13:
   
 20. m

  manyani Member

  #20
  Mar 11, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Evidence!!!
  Unataka kuhalalisha kuwa mgombe wa CCM hana utata??? laki ni mbona baba yake hakutoga masikio??? au sio baba yake??
   
Loading...