Tucheke Kidogo ktk huu Mkesha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tucheke Kidogo ktk huu Mkesha

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Goodrich, Apr 1, 2012.

 1. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Nimekutana na hii post kwenye uzi mmoja humu JF: JF Exclusive: CHADEMA Yaibwaga CCM Arumeru Mashariki; CCM Yakubali kushindwa Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa Taranga: Una dollar 4000, una smg, bastolla, simu 3, laptop 3, kanzu, bharakashia, then utathubutu, utalizwa, utabaki uchi, ccm oyeeeeeeeee.
   
 2. Goodrich

  Goodrich JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 2,050
  Likes Received: 632
  Trophy Points: 280
  Jabulani: Leo nita Malima hadi asubuhi! Simba wa Taranga: Una dollar 4000, una smg, bastolla, simu 3, laptop3, kanzu, bharakashia, then utathubutu, utalizwa, utabaki uchi, ccm oyeeee
   
 3. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,213
  Likes Received: 10,554
  Trophy Points: 280
  sijui watatoa tathmini gani juu ya kubwagwa kwao... ila kunavisingizio vingi.
   
 4. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tukeshe tukiomba, maana hatujui saa wala siku magamba watachakachua matokeo yetu. leo silali
   
 5. Zizu

  Zizu Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  habari ikiwa nzuri niko radhi nisikie kila redio, kila TV, kila kila kurasa ikiwezekana mpaka Michuzi blog ( CCM's BLOG)
   
Loading...