Njama za kuiba kura na kuitangaza CCM kushinda kwa asilimia 56 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Njama za kuiba kura na kuitangaza CCM kushinda kwa asilimia 56

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Rugemeleza, Apr 1, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. R

  Rugemeleza Verified User

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nimepata habari kutoka kwa mwanahabari wa kuaminika kuwa chanzo chake cha habari katika idara za usalama kinasema kuwa CCM watatangazwa kuwa ni washindi wa kiti cha ubunge Arumeru kwa asilimia 56. Nimetuma habari hii lakini inaelekea waratibu wa mtandao wanafikiri mimi ni mpotoshaji kwani wameifuta au kuihamishia sehemu nyingine. Inabidi Chadema wapambane kuzuia uchakachuaji huu kwani kusimamishwa kutangazwa matokeo ya vituo vingine ni lengo la kufanikisha uchakachuaji huo ikiwa ni pamoja na kuingiza masanduku ya kura bandia katika eneo la kuhesabu kura. Ni lazima Chadema wamtahadharishe Jaji Lubuva na Msimamizi wa Uchaguzi Kagenzi. Kutokufanya hivyo ni uzembe na kosa kubwa.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Aminia
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  wasijaribu huo upuuzi wao
   
 4. Jallen

  Jallen JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 497
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 45
  Hakika kama Mungu aliyeko sirini anaona nina imani katika jina la Mungu watashindwa na watapofuka macho wote watakaojaribu kufanya hivyo!!!
   
 5. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,684
  Likes Received: 704
  Trophy Points: 280
  Wamechelewa! kwani matokeo tunayo tayari
   
 6. Smallfish

  Smallfish JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 16, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Chadema leo tunappanda kwa pamoja na kushuka kwa pamoja hadi kieleweke
   
 7. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawawezi, nitawakamata.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kuna watu bado wana kiu ya damu za watu. Mkapa atakuwa shuhuda muhimu akifuatiwa na Said Mwema kwa lolote litakalotekea Arumeru. Huwezi kulazimisha watu waongozwe na nini. Kama hakutaka matokeo kwa nini walikubali kushiriki uchaguzi?
   
 9. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,105
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  kinachohakikiwa pale ni fomu za mawakala hawahesabu kura. Labda waje na hizo fomu. Hata hivyo mpaka sasa hivi matokeo yanafahamika kutoka kwa mawakala. Ungenambia wanataka kutumia ubavu kama wa majimbo ya 2010 ningelewa.
   
 10. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Wamechelewa sana kuiba. Tunawaaminia makamanda waliopo gado. Kitaelewaeka tu!
   
 11. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  kuna kundi la wana cdm kutoka arusha mjini linajipanga kwenda arumeru kulinda
  ushindi.
   
 12. U

  Uswe JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kama barcelona. . . ooh sorry kama man U
   
 13. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Mkuu habari hiyo hata mimi lakini haina ukweli kwani ndani ya system kuna contradiction.

  Moja, kuna baadhi wanataka CCM ishindwe ili ijifunze makosa na hasa Lowasa aliyelazimisha Sioi achaguliwe wakati hana sifa.

  Mbili, kuchakachua wamechelewa maana kama kata 10 zimeshaleta matokeo na yanashughulikiwa basi hizo saba haziwezi kuleta tofauti kubwa sana.

  Tatu, wangeweza kuchakachua kwa kutumia nguvu lakini tayari suala la kumjeruhi Kiwia nalo linawaumiza vichwa hivyo hawawezi kukubali maafa mengine kirahisi kwa sababu ya mtu asiyebebeka.
   
 14. k

  kajunju JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 30, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Ni tetesi lakin ni muhimu kuzifanyia kazi. Kama ni rugemeleza nshala,huwa nakuaminia 100%. Siku moja kwenye tv ulisema ngereja hana lolote,ni junior na hajui lolote kwenye madini. Wewe na lisu ni magwiji kwenye sheria.
   
 15. M

  MKUTANI Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  wanaweza wakatumia nguvu tu,ila mtifuko wake sipati picha
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...