Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikutano ya CDM kufunga kampeni Tengeru na USA

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Losambo, Mar 31, 2012.

 1. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #1
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Updates:
  Mkutano umekwisha wakuu, kilichotokea ni historia katika Arumeru watu walikuwa ni wengi haijawahi kutokea na kitu kilikuwa kimeratibiwa vizuri.

  Ni wazi ushindi ni kwa Nassari bila chenga.

  Nassari anatoa kituko hapa, katika kujibu hoja ya kuwa na mke.

  Anasema kwa kuwa Halima Mdee hajaolewa basi wakimuudhi anaweza kumuoa Mdee kisha Aremeru ikawa ina wabunge wawili!!!!!!

  Mbowe anasema wanampango wa kupeleka hoja binafsi marais wastaafu ambao wanafanya kazi za chama wasilipwe pension na serikali bali chama.
  Slaa atoa tuhuma nzito kuwa leo katika hotel Snow Cret kulikuwa na mkutano kati ya tume na CCM ili kuona jinsi ya kuokoa jahazi.

  Vicent Nyerere anasema Wameru wanatatizo moja tu, tatizo lao ni pale wanaponyang'anywa haki haki yao. Anasema haki yao ni Nasari.

  WanaJF nitakuwa live kuwaletea bila chenga yatayojiri katika mikutano ya kufunga kampeni ya jimbo la Arumeru. Hivi sasa mambo yanaendelea kwa kuwapika mawakala eneo la USA.
  Vitendea kazi vipo vya kutosha kwa ajili ya picha na videos.

  Stay tuned,
   
 2. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #2
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Mbona leo ma-reporter wa CDM wamekuwa wapole sana.
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ulitaka wawaje ili ujue wamechangamka?
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kila la kheri. Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
   
 5. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #5
  Mar 31, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  tunasubiri mkuu.
   
 6. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #6
  Mar 31, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Mkuu hongereni sana bwana, tunasubili kwa hamu picha hizo!
   
 7. Ishina

  Ishina Senior Member

  #7
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tunashukuru saaana Mkuu,
  usisahau ku post na picha ili tuweze kujionea hali halisi eneo la tukio. All the best makamanda wote wa CDM mnaotuwakilisha huko
   
 8. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #8
  Mar 31, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Tupe ratiba nasikia ipo mikutano miwili, hali ikoje? Usiwe na wasiwasi na maswali yangu.
   
 9. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  ubiri updates hizo mkuu
   
 10. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tupia tupia mzee kila la heri.
   
 11. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #11
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  tunakusubiri mkuu
   
 12. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #12
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Najua wazi Arumeru si Igunga kupewa sukari ya 2000tshs ukasahau matatizo yako
   
 13. mchambuzixx

  mchambuzixx JF-Expert Member

  #13
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 1,294
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 145
  mkuu wala usiwe na wasiwasi na ushindi ...ripoti utaletewa na matokeo kesho saa 3 usiku tayari tutakuwa tushachukua arumeru hilo halina ubishi nawahakikishia wanachadema wote na wale wasio wapenzi ushindi ni wetu wala msiwe na hofu magamba huku hayana chao kabisaaa na mimi naongea nikitokea uwanja wa mapambano arumeru sio hao wanaotaka kujinyonga wakiwa dar hata hali halisi haijui
   
 14. O

  Otorong'ong'o JF-Expert Member

  #14
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 17, 2011
  Messages: 31,216
  Likes Received: 10,582
  Trophy Points: 280
  waiting......
   
 15. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 31, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  Loading........
   
 16. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #16
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Tengeru - Patandi ni kuanzia saa nane kamili hadi saa kumi. Kumi mpaka kumi na mbili USA Lenganga.
   
 17. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #17
  Mar 31, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Shaka 0%. Kika kitu utapata.
   
 18. I

  Iriora Member

  #18
  Mar 31, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asante kaka
   
 19. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #19
  Mar 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
   
 20. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #20
  Mar 31, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Chadema wakishinda najinyonga makamanda.
   
Loading...