Picha za hali ilivyo USA baada ya matokeo kuanza kutangazwa.

Losambo

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
2,612
864
Wakuu nimetoka USA, hali ilivyo ni kuwa vijana wapo eneo la USA karibu kabisa na kituo cha polisi wakishangilia matokeo ya awali. Kiukweli vijana hao ni wengi na bado wanatiririka toka pande mbali mbali kuelekea halmashauri ambapo ndipo matokeo yanategemewa kutolewa.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 
Attachments

  • USA.JPG
    USA.JPG
    27.3 KB · Views: 999
  • USA 3.JPG
    USA 3.JPG
    30.1 KB · Views: 1,008
  • USA 4.JPG
    USA 4.JPG
    31.1 KB · Views: 987
Kweli huyo mapoooozi!Sasa anaanza kuweweseka!Kubali hali Mapoooozi.
 
asante kwa picha mkuu ccm wakalale mwana na mkwe mwana chali sioi akaoe bb mwingine
 
Kumbe ni jadi yenu nilijua mwenzako aliteleza ulimi kwenye kampeni
 
bure mtakunywa sumu mfe huku mnaona aliyepewa muheshimu riziki yake ni pana kuipora kwake ni vigumu mtahangaika sana,Mungu kajalia chadema inapendwa wewe lia 2,dont be extremist sir
 
Wakuu nimetoka USA, hali ilivyo ni kuwa vijana wapo eneo la USA karibu kabisa na kituo cha polisi wakishangilia matokeo ya awali. Kiukweli vijana hao ni wengi na bado wanatiririka toka pande mbali mbali kuelekea halmashauri ambapo ndipo matokeo yanategemewa kutolewa.

attachment.php

attachment.php

attachment.php
Mbona hakuna umeme? Tanzania rasilimali zote hizo hamna umeme?
 
Unatarajia ccm ipeleke umeme huko?
Ndiyo maana tunasema it's time for change. And this is only possible through people's power! Go CHADEMA!!!!!!!!!!!:lalala:

Mbona hakuna umeme? Tanzania rasilimali zote hizo hamna umeme?
 
Back
Top Bottom