Wana Habari wapata ajali mbaya Arumeru

Borakufa

JF-Expert Member
May 26, 2011
1,503
390
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari watano wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.

Sourse Sunrise Radio
 
Pole sana Kwao, Mungu awaponye na waendelee na kazi yao vizuri. Katika safari zenu mtangulizeni Mungu, huko kuna akina Maji Marefu
 
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari wanne wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.

Sourse Sunrise Radio
Tuwatakie uponaji wa haraka.
Lakini sasa hawa waandishi kwa nini wasitumie magari ya ofisi zao. Wanapotumia magari ya makada wa vyama kweli watakuwa huru? Afadhali mmoja wa star tv nimemsikia akisema anatumia pikipiki ya kukodi.
 
Mvua kubwa arusha sasa mawasiliano yanapotea redio zinakatika katika Je hii itakuwa kama Igunga au?? ndiyo mvua ya kutengeneza ya EL
 
Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari wanne wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.

Sourse Sunrise Radio

daaah Mwenyezi Mungu awape afya njema ili warudi kundini waendelee na mapambano!!hakuna mkono wa mtu hapo??ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha aaaaaaaa!!sio Mwigulu huyo katupia kitu??
 
Tuwatakie uponaji wa haraka.
Lakini sasa hawa waandishi kwa nini wasitumie magari ya ofisi zao. Wanapotumia magari ya makada wa vyama kweli watakuwa huru? Afadhali mmoja wa star tv nimemsikia akisema anatumia pikipiki ya kukodi.

Yeah! huu ni ukweli mchungu kwao, inaweza kuwa gari la cdm lipo katika oparation zao kama kawaida lakini kwa kuwa hawana usafiri au hawakupewa usafiri ni rahisi kuomba rifti katika mazingira haya ili mtu atimize majukumu yake! kwa ufupi ipo haja ya kuingalia kwa jicho la tatu mazingira ya tasinia hii
 
Saa za Sikukuu bado tu hazijaisha?

QUOTE=Borakufa;3599762]Wakiwa wanatoka katika Kata ya Ngarenanyiki wakielekea usa river wakitumia gari la mbunge wa musoma mjini V. Nyerere (Kiboko wa Mkapa) wanahabari watano wa dira ya Mtanzania,Tanzania Daima, Jambo leo, Sunrise Radio na Majira wamepata ajali! hawajaumia sana isipokuwa Grace Mbise Majira hali yake mbaya sana.

Sourse Sunrise Radio[/QUOTE]
 
Jaribuni tu kuangalia jambo Leo ni ccm,mtanzania haviendani hiyo ni sikukuu.
 
Waandishi arumeru wamepata ajali ya gari baada ya gari yao kuserereka na kupinduka.
Hakuna vifo,bali majeruh wamekimbizwa hosp.
Source:ITV
 
Mungu awaongoze wapate nafuu warejee kazini. Tunawashukuru itv kwa ripoti zao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom