hali tete Arumeru

meningitis

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
8,349
4,674
mabomu ya machozi yanarindima.
Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi.
Wasimamizi/mawakala wa chadema wapigwa mabomu.
Kuna mwanaccm amekamatwa ndani ya chumba cha kujumlishia matokeo akijaribu kuchakachua matokeo!
Mpaka sasa matokeo ya kata saba yamefika ingawa msimamizi amekataa kutoa matokeo.
NASARRI ameenda kuwatafuta mawakala wake.
 
mabomu ya machozi yanarindima.
Magari ya polisi yanarusha maji washa wananchi wanalala chini lakini hawaondoki.polisi wanaelekeza mabomu kwa wananchi.
Mkuu haya yanatokea wapi na kw nini???!
 
wanataka kuvuruga ujumlishaji wa jumla..CDM wangepokea matokeo ya wakala wao kwa sms kwenda kwa recorder mwenye idadi ya wapiga kura na vituo then aweke kwenye excel na kujua sio kusubiri hesabu za Nec na kagenzi
 
Tupatie more update, watu wakishahamanika na ushindi wa awali, huwa wagumu kukubali matokeo kamili kama ni kinyume cha matarajio yao!.
 
Hakuna wa kubisha ushindi ni kwa CDM. Nawapa pole akina Lusinde Kibabaji na matusi yake jukwaani.
 
Kisa cha yote hayo ni nini.!!!Hakuna kulala mpaka kieleweke wakuu na tupeane taarifa na hata picha zimwagwe hapa jamvini...Eeeh mwenyezi mungu tusaidie
 
Back
Top Bottom