Nape ashangilia ushindi wa CHADEMA?

Kazi kwelikweli. wanafiki tu kama walikuwa hawamtaki walifanya nini kumkataa? walewale angeshinda wangesema chama chao imara!
 
1.jpg


itamlazimu kesho aungane na hawa
 
kimoyomoyo anachekelea ushindi wetu japo hadharani anaonekana ccm ili kulinda kibarua chake.....
 
Nape alishatahadharisha mapema sana kwamba huyu Sioi hatashinda.Wangemweka Sarakikya ni wazi angeshinda.Matokeo yake wametumia rushwa ya Lowasa kama kawaida yake.Hili ni pigo kwa Lowasa na kundi lake
 
Hongera Nassari, kweli nimeamini "unakula CCM unalala CHADEMA" means kula pesa za CCM chagua CDM, mwanzao mzuri, Kirumba pia CDM imechukua ni raaaaahhaaaa kwa watanzania, sio kwa mafisadi!!
 
inanipa mzuka hiyo picha. inanikumbusha ushindi wa Halima Mdee na John Mnyika walipita Kawe ule Usiku moto bati walipofika kituo cha Polisi walipiga bonge la msele watu weweeeeeee
 
Back
Top Bottom