wizi... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wizi...

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by SamJet, Apr 2, 2012.

 1. SamJet

  SamJet Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 165
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Nipo arumeru, ukuta wa wigo wa nyumbani pia ni wigo wa hoteli ambayo ni makao makuu ya ccm huku Arumeru Leganga USA, kusema kweli ni vilio humo hotelini,

  Wizi wa kura, hivi jiulize kwenye vituo vidogo, ccm wanapata kura zinazogawanyika kwa tano tu, mfano 200, 200, 50 n.k hawapati kama56, 74, 47, huu sio uchakachuaji kweli?
   
 2. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  namba shufwa tu? hakuna witiri wala tasa. ccm kwishney
   
 3. d

  dguyana JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 426
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Aa tayari matokeo yameshatoka jaman. Hizo karatasi zilizobaki zinafaa kwa kufungia maadazi sasa.
   
 4. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Lowasa atawanunua mahakimu msihofu
   
 5. KATATANAMA

  KATATANAMA Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 64
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mapanga na sime ziko tayari kwa wachakachuaji wa kura.
   
Loading...