Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nawashukuru sana watangazaji wa Sun Rise Radio Arusha kwa kuwa makini na kututangazia kwa muda wote mchakato wa upigaji kura na hatimaye matokeo yake. Nimefurahi jinsi mlivyokuwa makini na kufanya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimesikia matokeo ya Kata ya Kiwira tuu ambapo CDM wamechukua, Je sehemu nyingine imekuwaje wapambanaji?
0 Reactions
0 Replies
938 Views
Nivizuri nape aje humu aeleze alicho sema kwamba CCM watashinda kwa Kishindo
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kutokana na ushindi wa Chadema katika uchaguzi Mdogo wa Arumeru, tutarajie kusikia makamanda wa Polisi wakibadilishwa vituo na hasa wale wenye vyeo vya juu kurudishwa Makao Makuu kukalia dawati na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hii verse Maurice Kirya aliwatungia CCM kwa siku kama ya leo (song - I don't wanna fight): Now look at them fighting...Like two roosters in a cage Now Hear them preaching...With the words full of...
2 Reactions
0 Replies
786 Views
I cant find better way to describe our national relationship between Tanzania and her very own son, JK We are a country on our knees, and in this situation.. many poor people expect their leader...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
wanabodi wote Nimetimiza wajibu wangu. Nilitoka kwetu Mwanga kwenda Arumeru kwa kazi Moja ya kupiga kura mabayo ni haki yangu ya msingi.nemeilinda na hakika imesababisha Hongera Nasari, hongera...
0 Reactions
0 Replies
813 Views
Dr. Mwakyembe,awali alilieleza taifa kuwa amelishwa sumu, akatuhumu Serikali hasa vyombo vya usalama kuwa hawalichukulii suala lake kwa umakini, wanampuuza yeye japo ni Waziri wa Nchi hii, je raia...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ndugu B.W.Mkapa binafsi nimefurahi sana watanzania wa Arumeru mashariki kwa kukujibu swali lako uliowauliza siku iliyokuwa unafunga kampeni za chama C.C.M. swali: "Wanasema wanataka kuikomboa...
1 Reactions
1 Replies
948 Views
Updates: WanaJF tayari offically CDM wameshachukua jimbo, nashauri wanasheria watujuze ni charges gani ambayo Lusinde anaweza kuchukuliwa ili kila mtu ajue? Nina uchungu sana na Lusinde...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Ushindi wa Joshua Nassari-Chadema na kukubali kwa CCM kushindwa naona ndiyo demokrasia inaanza kukua.Nadhani ni vyema chama kilichopo madarakani kusoma alama za nyakati...Kizazi kilichopo kinataka...
0 Reactions
0 Replies
672 Views
  • Closed
Mpaka sasa... Very latest updates wakuu Wakuu, mpaka sasa tumebakiza kukusanya matokeo ya vituo vinne tu, narudi vituo si kata, vituo vya kupigia kura katika kata nne tofauti. Matokeo mpaka...
196 Reactions
1K Replies
99K Views
Matoke bado arumeru?
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Mnalala tu mnakoroma. Mnaibiwa. Wai!
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakuu wa CDM naomba kuuliza kama mjasiriamali huyu atakua anakitendea fair Chama chetu cha CDM. Amerudufu CD 100 za matusi ya Lusinde kwa kuanzia na anataka akawape wale vijana wanaogonga...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
wanajamii, tusaidiane kuelimisha umma, umuhimu wa katiba mpya. watu wajitokeze kutoa maoni
0 Reactions
3 Replies
713 Views
Naomba mnisaidie ile kata ya pale shinyanga kashinda nani? Tanzania bila ya ccm inawezekana...
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Naomba matokeo ya chama changu ccm hapa
0 Reactions
26 Replies
3K Views
mheshimiwa Mkapa amewachana live wapinzani na hasa ambao wanajiita wanataka kuiokomboa nchi akina CHadema mosi akiwaambia kuwa CCM na serikali yake ndio ilioikomboa nchi tokea 1961 CCM na chama...
1 Reactions
70 Replies
6K Views
Sawa.Mimi najua waenda Dodoma ila kumbuka kale kamama kanabinyua mdomo kanakupa saizi yako. Usipokua makini unaweza kumkata ngumi 'before sakamombya' so b careful. Sawa? All the best!
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom