Kuanguka vibaya kwa CCM Arumeru, upepo kubadilika?

MTAZAMO

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
19,643
33,427
Wakuu,jinsi Siyoi Sumari alivyopita toka mwanzo kimizengwe, kushindwa vibaya kwa CCM huko Arumeru nini uelekeo wa makundi ya Urais,EL na Chama chenyewe? Pongezi kwa Chadema
 
Bado nahitaji confirmation, maana naona kama mnatuonjesha asali kwenye unyoya, kata zote inajulikana matokeo halisi japo tume haijatangaza.
 
jamani matokeo halisi ya arumeru ni yapi? maana naona thread nyingine inasema CCM imeshinda nyingine CHADEMA
 
acha wafu wazike wafu wenzao. Isue ni vipi chadema wanajiandaa kushika dola? hivi Cdm wanajua kuwa wanasuport kubwa ya watu serikalini? tena ni wale technical ambao siku zote huamuliwa na wanywa kahawa pamoja na viongozi Aka presd. appointees.
 
jamani matokeo halisi ya arumeru ni yapi? maana naona thread nyingine inasema CCM imeshinda nyingine CHADEMA
Mkuu usihofu CCM chali! enhe tupe tathimini yako nini muelekeo wa chama hiki kikongwe baada ya kipigo hiki cha aibu kabisa? JFLive analysis kama CNN 24/7 hahahaha!
 
Kuna kitu kinaitwa domino effect. CCM walikuwa wanataka kuhakikisha kuwa Chadema kisionekane kuwa chama cha umakini wowote. Ndio maana wali invest heavily katika uchaguzi wa Arumeru. Ukisikiliza hotuba za Mkapa, ya ufunguzi na ya kufunga, utaelewa ninachomaanisha. Sasa kama karata yao ya kuzuia domino effect haikufua dafu watakachoshuhudia sasa kuelekea 2015 ni hiyo hiyo domino effect ambayo matokeo yake ni kwamba kufikia 2015 CCM tuijuavyo sasa haitakuwa tena CCM yenye mvuto.
 
Okay ndugu Jasusi very good analysis! Vipi issue ya kuvuana magamba baada ya aibu hii ya karne?
 
Okay ndugu Jasusi very good analysis! Vipi issue ya kuvuana magamba baada ya aibu hii ya karne?
The question is: nani atamvua nani magamba? Unadhani Kikwete kweli anaweza kumvua EL magamba yake? Hawa wote wanajuliana siri zao. Kwa kumvua mtu magamba unatakiwa wewe uwe msafi. They are all dirty kama alivyosema wakati mmoja Mkapa. Magamba yataizika CCM.
 
CCM is going to die as many other parties in Africa and around the world. No party should stay in power for so many years like this and they must accept it because if they continue with their dirty games soon they will find themselves in The Hague or see the face of the people's power
 
Back
Top Bottom