Pongezi makamanda wa mstari wa mbele | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pongezi makamanda wa mstari wa mbele

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Jayfour_King, Apr 1, 2012.

 1. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Baada ya kufuatilia kwa siku nzima kutokana na ripota mbalimbali walio mstari wa mbele napenda kutoa pongezi na shukurani zangu za dhati kwa kazi kubwa na nzuri iliyofanywa na makamanda wote wa mistari ya mbele hapa nina maana:
  1.Arumeru Mashariki,
  2.Kirumba,
  3.Lizaboni, na
  4.Kiwira
  Pongezi sana.

  PENDEKEZO:

  Ingawa vitani hakuna kupumzika mpaka vita iishe, napendekeza kwamba kama namna ya kutambua mchango wa makamanda wetu hawa baada ya taratibu za kutangazwa rasmi kukamilika ingekuwa vyema wakapatiwa muda wa siku moja ndani ya wiki hii inayo anzia kesho (Jumatatu tarehe 2) ya kupumzika na kupengezwa kwa ushindi huu wa kihistoria.

  Naamini sasa kama watanzania tumeanza kuamka na kuuona ukweli na pia elimu ya kulinda kura zetu zisichakachuliwe imeanza kuenea miongoni mwetu.

  WITO KWA CHAMA:

  Itumie hivyo hivyo vyanzo vichache vya mapato kueneza elimu ya uraia kwa wapiga kura, kwani ni kigezo pekee muhimu kwa wananchi kufahamu haki zao kama raia, hii itasaidia wao kuamua ipi ni pumba na upi na mchele katika siasa za TZ.
   
 2. LOWE89

  LOWE89 Senior Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  hilo nalo jambo, limechukuliwa
   
 3. PRISCUS JR

  PRISCUS JR JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 448
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Umenena mkuu
   
 4. s

  silao Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nami nawapongeza ingawa bado sijatosheka na habari za Arumeru mashariki
   
 5. Kitaja

  Kitaja JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 2,644
  Likes Received: 693
  Trophy Points: 280
  Matokeo yote yamefika kituoni au bado vituo viko mbali?
   
 6. Jayfour_King

  Jayfour_King JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 15, 2009
  Messages: 1,142
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Ni kweli kwani kiu ya maji haiishi kwa soda!
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Pamoja sana mkuu!
   
 8. B

  Baba Ludovick Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno
   
 9. kanininyo

  kanininyo Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 16
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hilo nalo neno,poeple power.
   
 10. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Mie nawapongeza chadema kwa hii kazi nzuri ya kutuondoa matongotongo
   
 11. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mh rais Dr slaa na Mh Mbowe nawaaminia kazi wanayofanya ni kubwa,I see the future!! T 2015 CDM lazima isajiliwe tu.
   
 12. M

  Malunde-Malundi JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 10, 2008
  Messages: 1,287
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  silali nasema silali mpaka kieleweke
   
 13. jobe ayoub

  jobe ayoub JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 30, 2012
  Messages: 206
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tuimbe kwa pamoja,

  "
  i can see clearly now" mara 3.

  pepooooooooooooooooooooooooooooooooooooooz!!!!!!!!!!!
   
Loading...