Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Note this guys. Hata kama CHADEMA watashinda katika kata ya Kirumba na jimbo la Arumeru Mashariki (ndivyo inavyoelekea). Matokeo hayo yatageuzwa kwa ubabe, nguvu na wizi (kama ilivyokuwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wana JF Hofu kubwa imetanda miongoni mwa makundi ndani ya chama tawala kuwa huenda kesho kamati kuu ikamkata mgombea aliyeshinda Arumeru Sioi Sumary na kumpitisha William Sarakikya. Hii ni...
0 Reactions
110 Replies
10K Views
Tumeshuhudia matukio ya vurugu za namna mbalimbali hata tumefikia hatua ya kujeruhiana kwa mapanga na namna tofauti ktk chaguzi zetu mbalimbali zilizofanyika hivi karibuni zikiwepo za Ubunge na...
0 Reactions
0 Replies
868 Views
Kwa yule aliyesema wa JF tumeuchapa usingizi siyo kweli laptop zimeheat zinakaribia kucease. mind you cdm imeibuka kidedea hata chaguzi ndogo za madiwani zilizofanyika jana. Ila wafuatao uchaguzi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
STAR TV- msoma magazeti aruka vichwa vya habari vinavyohusu matokeo ingawa picha zilimsuta. Mf. Mwananchi iliandika "CCM HOI ARUMERU MASHARIKI" kilirukwa Msimamizi asoma matokeo kwa kigugumizi...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Clouds FM na TBC kaeni chonjo mambo mnayoyafanya yanamwisho muda si mrefu mtakuja kujutia mnayoyafanya Hizi ni salamu mvua itakuja kuwanyeshea
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimejifunza mengi sana kpitia hizi chaguzi ndogo (Arumeru mashariki, Kirumba n.k.), lkn cha msingi & muhimu zaidi ni kwamba hata mimi sasa naweza simama na kugombea nafasi ya ubunge au urais wa...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Unafiki wa Tbc kipindi cha kampeni umewadhalilisha na wamejipatia aibu ya kutupa kwani walionyesha upendeleo wa kutosha halafu hapa Arumeru wanamng'ang'ania eti wamhoji baada ya kutangazwa aibu...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu naomba tuangalie issue hii kwa mapana, tusiangalie kwa mtizamo wa mvutano kati ya CCM na CDM, kwani tunaona kuwa nchi yetu imefika hatua ambayo naweza kusema tunaonekana kuchangamka kisiasa...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivyo makamanda nawaomba muwe macho kudhibiti haya mafisadi,inasemekana kuna kura bandia pamoja na wakuu wa vitengo hapa nchini. Makamanda tuko pamoja kazeni kamba lazima ccm izikwe b4...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
nadhani magazeti kesho yataandikwa hivi uhuru: WAZIRI MKUU- WATUMISHI PANDENI MITI JAMBO LEO: CHADEMA WAZUA VURUGU KWENYE KUHESABU YA KURA. mabomu yarindima una magazeti mengine.......
3 Reactions
49 Replies
5K Views
M leo siyo siku ya kushangilia ni siku ya kumshukuru Mungu kwa vile yupo nasi- CDM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hapa ni furu kula rahaaaaaaa People's.............................
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hatimae watangajazi wa TB-CCM imebidi wawe wapale kama maji ya mtunguni huku roho zikiwauma kwa kutangaza matokeo ya pipozzzzzzzz powerrrrrrrrrrrrrrrr wakipata ushindi. Inabidi wasome alama za...
0 Reactions
0 Replies
774 Views
Tunaomba matokeo ya udiwani yaliyojili sehemu nyigineko
0 Reactions
5 Replies
906 Views
Mmeonyesha kuwa kinyume na nguvu na ghiliba zote za mafisadi wa nchi hii,mmetukumbusha kuwa jukumu la kuilinda hii nchi ni letu sote,mkaendelea kutuonyeha kuwa utawala wa nchi hii uko kwa wananchi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huyu Bwana anapo soma magazeti asubuhi anajua kabisa watu wanaitegemea radio yao kwa taarifa hasa za matokeo ya Ubunge wa Arumeru Mashariki halafu yeye kwa makusudi kabisa anasoma hivii........."...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ndugu wana jf ni miaka 50 ccm imefauru kuweka ujinga vichwani mwa WA Tz! kwa sababu zifuatazo. 1. Hakuna walicho kifanya kwa miaka yote na bado tunawachagua. 2.wamefanya ufisad WA waz na bado...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Ndugu WanaJF, Leo ni siku ya kuwakumbuka wale wote waliojeruhiwa wakiwa katika mapambano ya kudai haki ya wanyonge. Ushindi wa chadema waweza kuwa kuwapa faraja. Tuwakumbuke wabunge wa CDM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Itakuwaje jumatatu hiyo kwenye magazeti, na media zingine?gazeti gani kucheka, na lipi kununa au kutoripoti kabisa!NiUhuru,Mzalendo au Tanzania Daima kunyamazishwa?Binafsi nahisi itakuwa hivi: 1...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom