CCM siasa za maji taka zinawagharimu sasa!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM siasa za maji taka zinawagharimu sasa!!!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by KakaKiiza, Apr 2, 2012.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,548
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Kwakusema ukweli CCM iko taabani maana sasa wananchi wanaelewa juu ya umasikini walionao!!na hasa akitazama mtoto wake anaenda shule ajala,anapekua,shati limechanika,kaptula imchanika inaviraka, kweli anakosa tumaini na chama kikongwe!akirudi nyumbani mtoto analia njaa na baba hana hata kumi!!
  Kweli lazima ataomba mbadala wa maisha nakuomba siku zibadirike apate hauweni na sasa wananchi wanyo hamu yakupata mabdiliko ndani ya nchi na wanachokiona mbeleyao ni CHADEMA basi ndiyo mkombozi wao,
  CCM walipo kwa sasa hawana mtaji wakuingia nao kwa wananchi waliochoka kama wananchi wa Libiya,Siria,Misiri! wote hawa walichoka utawala wakidhalimu!!
  Wananchi wanaenda mahosptalini hakuna dawa! na wanaambiwa kanunue pale pharmacy!huku akihaidiwa uchumi umepanda ni aibu kwa chama tawala kushindwa kuwasaidia wananchi wake wakati tuna kila raslimali!. Nakumbuka hata Zambia ilikuwa hivi!!
  2015 CCM wanajua yawezakuwa mwisho wauongozi wao na hasa baada ya kuwatelekeza wazee kwa kudhani wataingiliwa katika ulaji!Wazee wamekuwa msaada kwa chama hawajui tu!,nasasa vijana wanakitimba chama kwa matanuzi ya ma V8!!
  Hakuna mwenye kujua hatima yake 2015 hasa wabunge wa CCM!Mfano Huyu mbunge aliyeporomosha matusi ya wazi matusi aliyoyadondosha pale Arumeru ni ishara tosha kuwa CCM hawana kampeni thabiti!!hawana tena sera hata katibu mwenezi anaogopa kutoa sura yake mbele ya watanzania wenye kiu na mabadiliko!!
  Ila nikujilinda na plonium 210 niyakujihadhari nayo hasa kwa viongozi wetu wakitaifa!!
   
 2. v

  vangiling'ombe Senior Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  think tanks wa ccm: mwigulu, lusinde,mkapa,tyson,komba...the list is endless. Unategemea nn hapo?
   
Loading...