Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama baba akiwa dereva na mtoto anakuwa...derevaaaa!!!! baba akiwa Daktari na mtoto anakuwa ..........daktariiiiii!!! Baba akiwa mpiga debe wa Mbagala kawe na mtoto lazima awe......Mpiga debe wa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
W. Malecela wahi kura ya ubunge wa afrika mashariki kwa NASSARI. Nassari mpe kura ya ndiyo William ni mtu wetu mwana jamii mwenzetu. Usimhukimu kwa ajili ndugu yake Lusinde alikutukana sana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga, chama cha wananchi-cuf, kiliingia katika kampeni za uchaguzi huo kikipiga tambo za kujivunia mtaji wa kura zaidi ya elfu 11, kilichopata katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeshuhudia TBS wakitangaza matokeo ya Ubunge Kule Arusha, Kamanda Lema amesimamia kuhesabu kura na kutotoa mwacya hata hatua mbili hadi anatangaza matokeo akifuatisha msitari kwamsitari pembeni...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
...Inawezekana wengine wakadhani ni fikra za mwendawazimu kudhani kwamba "demokrasia ni gharama." Na inawezekana pia wengine wakaona kwamba tuna wajibu wa kutumia rasilimali nyingi katika kukuza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Viongozi na wabunge mbali mbali wa CCM walianza kuondoka kimya kimya jana usiku wa manane kurudi jijini Dsm baada ya kupata matokeo kuwa wamebwagwa na CHADEMA.Wabunge hao ni Lusinde,Ole...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Wizara ya Waziri Magufuli hoi NA MWANDISHI WETU 30th March 2012 Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo Imebainika kuwa chanzo cha miradi mingi ya barabara nchini...
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Ushindi wa Wa Chadema Arumeru Mashariki ni ishara tosha ya kuirudisha nchi hii mikononi mwa wateule na wenye uchungu na nchi. Uchaguzi wa Arumeru ilikuwa ni Vita kati ya Tajiri na Maskini,lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jana 23/02/2012 nilimsikia msajili wa vyama vya siasa Bw. John Tendwa, akisisitiza kuwa kuwa katika chaguzi ndogo ikiwemo ijayo ya Arumeru Mashariki ni lazima vyama vya siasa vifuate kanuni ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hainingii akilini kuona rais mstaafu anapanda jukwaani na kuanza kumnadi mgombea ubunge. Nionavyo mimi ni busara zilizojaa kuwa washauri wa jumla wa namna nchi yetu inavyo weza kustawi kwa kujali...
1 Reactions
0 Replies
786 Views
Awali ya yote nimefurahishwa na maamuzi ya vijana wa Arumeru - Heko! Well, Don Mkapa Rais Mstaafu alikuwepo, Ufunguzi na Ufungaji. Premier Waziri Mstaafu Edo Lowassa alikuwepo. Achilia mbali...
0 Reactions
5 Replies
974 Views
Wabunge wawili mmoja wa Jimbo la Ilemela na mmoja wa jimbo la Ukerewe wamepigwa mapanga na mawe usiku wa leo kuamkia asubuhi na hii inatokana viongozi hao walikuwa huko Mwanza wakati wakipita...
12 Reactions
252 Replies
26K Views
Baada ya kushindwa Arumeru kauli mbali mbali zimeshaanza kutolewa na viongozi na makada wa ccm.tumemsikia nape,bashe,makamba na wengine watafuta. Bottomline...........RIP CCM
0 Reactions
0 Replies
912 Views
Ukiona Umma unasimama kidete na kusema No,ujue huna chako.CCM jifunzeni kutoka Arumeru.2015 one mistake one Goal. Ukitaka kujua nini maana ya nguvu ya Umma,fuatilia Syria,Watu wana Mwaka wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ule Ugonjwa wa Psychotherapy nilio watabiria TOT sasa umeanza kuwala,hivi wamekimbilia Babati na Kosta yao na Semi lao,watapitia Hukohuko mpaka Dodoma kuelekea Dar,Mbona mnajizungusha...
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Wenye taarifa tupeni, tujuzuzeni Kama kamanda wetu yupo ndani ya meru?
0 Reactions
216 Replies
20K Views
CCM imeshindwa vibaya arumeru mashariki katika kinyang'anyiro cha ubunge wa jimbo hilo lililoachwa wazi na marehemu jeremiah sumari!kushindwa kwa ccm hakujatokea kwa bahati mbaya,kiukweli hata...
0 Reactions
0 Replies
770 Views
Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa...
0 Reactions
0 Replies
870 Views
Na. Joshua Nassari MATATIZO YOTE YA KIUTAWALA na kiutendaji ndani ya serikali na taasisi zake mbalimbali ambayo tunayaona katika jimbo letu la Arumeru Mashariki yanatokana na Chama cha...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Mkuu Balantanda, mara tu baada ya Sioi kutangazwa kushinda marudio ya kura za maoni ndani ya CCM baadhi ya watu na hata vyombo vya habari walisema kuwa Lowassa ni heavy weight kwa ushindi wa...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Back
Top Bottom