CUF, hii ndo maana halisi ya kujivunia mtaji wa kura. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF, hii ndo maana halisi ya kujivunia mtaji wa kura.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sheshejr, Apr 2, 2012.

 1. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Katika uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la igunga, chama cha wananchi-cuf, kiliingia katika kampeni za uchaguzi huo kikipiga tambo za kujivunia mtaji wa kura zaidi ya elfu 11, kilichopata katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010 kupitia kwa mgombea wake Leopald mahona, Hata hvyo katika matokeo ya uchaguzi huo mdogo, mtaji huo wa kura ulipukutika na kubakiwa na kura takriban elfu 2 pekee. Hata hvyo swali langu limekuwa, iwapo cuf itarud tena katika jimbo hilo mnamo mwaka 2015 itaambulia kura ngapi? Na kwa upande wa pil wa shilingi na katika kile kinachoonekana ukombozi wa pil wa tanzania u-karibu, chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) al-maaruf kama m4c, waliishangaza tz na dunia kwa ujumla baada ya kupata kura zaid elfu 23 nyuma ya magambaz waliopata kura elfu 26, kutoka kura zaid ya elfu 35 walzopata katka uchaguzi mkuu wa 2010 na kuachiwa kiashilio/king'ora cha hatar na m4c katka uchaguz mkuu ujao. Uhalisia wa kuwa na mtaji wa kura umeonyeshwa na m4c katka uchaguz wa jana baada ya kuongeza kura kutoka elfu 19 ( hii ni kwa mjibu wa matokeo yaliyo katika web ya nec) na kupata kura karibu elfu 33, (32, 972) na kuwashangaza magamba waliokuwa na kura zaid ya elfu 32, na jana wamebakisha kura elfu 26. CUF HAPO MPO!! Expect more wonderz from M4C.
   
Loading...