Nani wa Kulaumiwa???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa Kulaumiwa????

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Power G, Apr 2, 2012.

 1. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Kufuatia kitendo cha Lichama Kubwa la CCM kugalagazwa na "chama cha musimu" CDM katika uchaguzi mdogo wa jimbo la Arumeru mashariki, nani wa kulaumiwa kati ya wafuatao: Mkapa, Wassira, Lowasa, Mwigulu, Lusinde, Nape, JK?
   
Loading...