Ndio! wale wote walioko madarakani kwa kuiba haki ya watanzania kwa kuchakachua kura ambazo ndio sauti ya watu ni bora itokee kama Arumeru ili haki itendeke kwani mahakama zetu zinaonekana kuto...
Kuanzia saa saba kutakuwa na mkutano mkubwa wa kuwashukuru wana Arumeru Mashariki walio kubali Mabadiliko.
Utafanyika Uwanja waa Ngaresero Usa River,pale walipo zindulia kampeni CCM na ndipo...
Wana bndi,nimeamini chama cha siasa chenye nguvu ni kile ambacho kinashirikisha wanachama na wananchi katika mipango na taratibu zote za ufanisi wa ujenzi na utekelezaji wa sera za chama.Mimi...
Kwanza nitoe pongezi nyingi kwa CHADEMA kwa ushindi huu wa kishindo. Ni muda mrefu sana tumekua tukisubiria ushindi wa CHADEMA kwenye changuzi ndogo, walau leo yametimia.
Sasa nafikiri ni wakati...
Kaka yangu Mwigulu,
Awali ya yote nikupe pole kwa kupoteza Jimbo la Arumeru Mashariki kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
Kaka, Utakumbuka tangu mchakato wa Kura za Maoni, kulikuwepo...
Baada ya ushindi mzito wa udiwani na arumeru ni ishara nzuri ya chama kukubalika zaidi. Ushauri wangu kwa viongozi ni kuorganize kampeni kubwa kama operation sangara ya nchi nzima hasa wilaya...
Katika hali ya kawada naomba nitume rai yangu kwa viongozi wetu wa chadema kuacha mara moja mazungumzo ya siri waliyonayo na lowasa,kwani watanzania hawatakielewa chama chao wanachokipenda...
Wanajamiiforums, baada ya matokeo ya uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki kutangazwa na mgombea wa CDM Joshua Nasari kuibuka mshindi, mimi nina mawazo yafuatayo:
Wananchi sasa hivi wameanza...
Ushindi wa CDM Arumeru mashariki ni ishara kwamba hata huyo B.W.Mkapa ambaye magamba wanamuona kama mungumtu wao kwenye jukwaa la kampeni.
Kwa kweli kila jambo na wakati wake. Huyu gamba kuu...
kitendo cha wabunge wawili wa chadema kuvamiwa na kupigwa sii kizuri. sharti wabunge wote wa chadema wapewe ulinzi wa kutosha na chama. mbunge mmoja wa chadema ana dhamani kubwa saana kwa taifa...
inaeleweka muda mwingi Nappe amekua akimtuhumu lowassa kwamba ni fisadi na anatakiwa kujivua gamba na iko wazi kwamba nappe hakuumunga mkono sioi kwenye kura za maoni na ndio maana uchaguzi...
Hongera CHADEMA kwa kuchukua jimbo la arumeru, mmeua big up Nassari, kilichobaki sasa ni kutekeleza ahadi watu hawataki porojokama za CHUKUA CHAKO MAPEMA ilo linazidi kutokea, BIG UP wana Arumeru...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa habari kutoka kwa wakazi wa Arumeru Mashariki wanasema mgombea wa Chadema Joshua Nassari, nafasi yake ya kuchukuwa kiti cha ubunge ni ndogo sana.
Katika mila zao...
familia ya ndugu ARUMERU MASHARIKI inafurahia kutangaza kifo cha ndugu CCM, kilichotokea USARIVER tarehe 1.4.2012 kwa kurambwaaaa na CHADEMA, habari ziwafikie KIKWETE, MKAPA, LOWASA, KIJANA...
huyu Mr angekuja kutoa ufafanuzi wa kauli yake hii...
" By Mwigulu LM Nchemba: Rais Bush kuwa Rais wa
Tanzania kuliko chadema
kushinda arumeru. Hata bila
utafifi hivi barcelona ikicheza
na...
Hello JF members ninayo furaha kubwa kujiunga na mtandao wawanajamii kutoa michangao mbalimbali ya ukombozi wa nchi yetu na bara la Africa. Kwa leo napenfa kuipa hongera Mh, Nasari, viongozi wa...
Yaliyotokea 2010 komaeni yasitokee kabisa Arumeru.
Shilembi (CDM) alimshinda Masele(CCM) lakini kuna mkubwa mmoja alialzimisha matokeo yawe kinyume nyume, ila damu ilimwagika. hadi leo huyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.