Kama baba akiwa Kuli na mtoto lazima awe.......KULI!!!!!!!

Mtego wa Noti

JF-Expert Member
Nov 27, 2010
2,591
1,599
Kama baba akiwa dereva na mtoto anakuwa...derevaaaa!!!!
baba akiwa Daktari na mtoto anakuwa ..........daktariiiiii!!!
Baba akiwa mpiga debe wa Mbagala kawe na mtoto lazima awe......Mpiga debe wa Tandale G/mboto!!!!....
Kama baba akiwa mdokozi na mtoto anakuwa........kibaka!!!.......
Baba akiwa kuli na mtoto lazima awe.......Kuli tena mpaka anakufa....!!!
Sasa kuna ajabu gani kwa Siyoi kurithi kazi ya baba yake?.......watu...... hakuna ajabu!!!!!

He!.....Kumbe wana-arumeru wao wameamini kubadilisha mwelekeo.....
Safi sana wana arumeru....
Nampenda sana Lusinde...ni CDM damudamu ndio maana aliamua kwenda kuvuruga system....
 
wale huenda siyo wapumbavu ila walikuwa wanashangilia upumbavu wa lusinde...inawezekana ilikuwa ni mbinu yao ya kumfnaya aendelee kuonesha upumbavu wake....kumbuka alitumia kama 15min...hivyo wasingemshangilia iinawezekana asingetapika yote aliyotapika...
Halafu na wale wapumbavu waliokuwa wakishangilia sielewi wana akili gani!
 
Back
Top Bottom