Nimekumbuka maneno ya Balantanda, heavy weight ni Nassary | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nimekumbuka maneno ya Balantanda, heavy weight ni Nassary

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by ESAM, Apr 2, 2012.

 1. E

  ESAM JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 962
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Mkuu
  Balantanda, mara tu baada ya Sioi kutangazwa kushinda marudio ya kura za maoni
  ndani ya CCM baadhi ya watu na hata vyombo vya habari walisema kuwa Lowassa ni
  heavy weight kwa ushindi wa mkwewe Sioi Sumari. Lakini Bala pamoja na kuiunga
  mkono CCM alikataa kuwa Lowassa sio heavy weight bali heavy weight ni Nassari
  kwa kupitishwa kwa kushindo kwa kura 825 kati ya 888 zilizopigwa. This has
  turned out to be true, safi sana Bala ukweli lazima usemwe tu.
   
Loading...