Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by C Programming, Apr 1, 2012.

 1. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #1
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,741
  Likes Received: 1,748
  Trophy Points: 280


  Wabunge wawili mmoja wa Jimbo la Ilemela na mmoja wa jimbo la Ukerewe wamepigwa mapanga na mawe usiku wa leo
  kuamkia asubuhi na hii inatokana viongozi hao walikuwa huko Mwanza wakati wakipita nyumba kwa nyumba wakihamasisha watu wakapige kura kumchagua diwani wao huko CCM Kirumba......lakini ghalfa walivamiwa na watu wasiojulikana na walipigwa mapanga na kuumizwa sana huku mbunge wa Ilemela akiwa hoi bin taabani .......yani ameumizwa sana

  Source.....kipindi cha patapata Wapo Redio


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Poleni sana wapiganaji, haki itendeke!!
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Apr 1, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  kama haina uhusiano na siku ya wajinga basi poleni sana wapambanaji.
   
 4. Eraldius

  Eraldius JF-Expert Member

  #4
  Apr 1, 2012
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 569
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Inasemekana mgombe wa Ccm alikamatwa usiku na nzengo ya mtaa wa Bukoba na baada ya hapo wakawapigia simu hao wabunge katika vurugu ndo wakawa wamejeruhiwa.
   
 5. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #5
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Habari hii kama ilivyoandikwa hapo juu kabisa na mleta mada ni ya kweli. Tunajua ni sikukuu ya wajinga lakini tunaomba wachangiaji msiokuwa na habari za ukweli msiweke utani maana mtachanganya watu na kupoteza maana, itadhaniwa ni sikukuu ya wajinga wakati ni habari ya kweli.
   
 6. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #6
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Na inadhaniwa kundi hilo lililowavamia ni la wana CCM. Mh. Kiwia kalazwa Bugando. Tutawaletea picha hivi punde kama ikiwezekana.
   
 7. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #7
  Apr 1, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
  Mbunge wa Ilemela ndg. Kiwia amepigwa mapanga usiku wa kuamkia jana na kundi la watu wanaodhaniwa ni wa #CCM. Amelazwa Bugando @JamiiForums

  Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
  This isnt April fool. Ndg. Kiwia kapigwa mapanga, amelazwa. Ndg. Machemuli wa Ukerewe naye kapigwa. Inasikitisha sana nchi yetu inafika hapa

  Zitto Zuberi Kabwe ‏ @zittokabwe
  @nanyaro_ guys i dont entertain this fool thing. Tupo hospitali ndg. Kiwia amejeruhiwa kwa mapanga
   
 8. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #8
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Anaelezea hivi sasa.
   
 9. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #9
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Siasa zetu zinaelekea kubaya
   
 10. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #10
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Not a joke!
   
 11. by default

  by default JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wapo radio antöny joseph kaongea na wenje kasema kiwia ataletwa hosptal dar aliyake si mzuri sana tuzidi kumuombea
   
 12. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Max hakika watu wananjaa wakipewa pesa kidogo kuharibu hawana cha kupoteza!!
   
 13. Maxence Melo

  Maxence Melo JF Founder Staff Member

  #13
  Apr 1, 2012
  Joined: Feb 10, 2006
  Messages: 2,606
  Likes Received: 1,701
  Trophy Points: 280
  Bugando wamechemsha?

  Naona Zitto anasoma thread hii, mkuu waweza tufafanulia nini kinaendelea?
   
 14. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  This is very very bad hwa waliyofanya unyama huu watafutwe na hatua kali zichukuliwe.

  Pole sna Machemli na kiwia.
   
 15. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #15
  Apr 1, 2012
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  CCM kinastahili kuwekewa vikwazo vya kisiasa, kijamii, kiuchumi na kupigwa vita kabisa! Poleni makamanda mungu awajalie mpate nafuu na kupona mapema.
   
 16. hollo

  hollo JF-Expert Member

  #16
  Apr 1, 2012
  Joined: Apr 21, 2008
  Messages: 781
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Tumefika huku jamani!So sad
   
 17. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #17
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Tupo Hospitali ya Bugando hapa. Ndg. Kiwia, mb anatoa maelezo kwa maafisa wa polisi.

  Kuna mmoja wa majeruhi ambaye yupo hapa mwanzoni alisema yeye ni mtu wetu na ameumizwa pia. Imegundulika ni mtu wa UVCCM, Ahmed Mkilindi ambaye ndiye alikuwa anaongoza kikosi kilichowavamia kina Kiwia. Amepata jeraha mkononi (friendly fire?). Mwenyekiti wa CCM mkoa yupo hapa kaja kumwona. Nimewaambia Polisi mtu huyu asitolewe hospitali kinyemela bali atoe maelezo polisi kwanza. Huyu ni mtuhumiwa wa kwanza kabisa.

  Hali ya ndg. Kiwia sio nzuri sana. Anatakiwa kufanyiwa ct scan kuona athari aliyopata (maana kapigwa na shoka na mapanga kichwani). Bahati mbaya hapa Bugando kifaa hicho hakifanyi kazi.

  Nimezungumza na Katibu wa Bunge na ndani ya muda mfupi ndg. Kiwia atasafirishwa kupelekwa Muhimbili kwa uangalizi zaidi.
  Ndg. Machemuli anaendelea vizuri alitoka hospitali jana (alipata huduma ya Kwanza Sekou Toure).

  Siasa za Tanzania zinazidi kujidhihirisha kuwa hazina tofauti na nchi nyingine za Kiafrika. Chama cha siasa kuwa na makundi ya wahuni na kupiga watu ni hatari na chama hicho kinakosa 'moral' authority ya kutawala.

  Tusubiri uchunguzi zaidi wa Polisi. I am so depressed
   
 18. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #18
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Chagua CCM udumishe Amani, hii ndio amani? Jeshi la Polisi na Mkuu wa majeshi mnapaswa kuwajibika kwa hili kwanini siasa za sasa zimekua ni vita?
   
 19. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #19
  Apr 1, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Ccm kama baba na mama wa vyama vya siasa tz ndo wamètufikìsha hapa,hatuaminianí kila moja anadhani mwenzake ndo mwizi.We plaý for machemuli and kiwia!
   
 20. e

  evoddy JF-Expert Member

  #20
  Apr 1, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 302
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM wanatupeleka pabaya kama wamefikia hapa walipotofikia mwisho wetu ni mbaya sana kuliko hata wa rwanda na burundi .

  Tuwaombee wabunge wetu wapate nafuu
   
Loading...