TOT Pelekeni salamu za wana Arumeru DSM

yplus

Senior Member
Mar 20, 2012
153
69
Ule Ugonjwa wa Psychotherapy nilio watabiria TOT sasa umeanza kuwala,hivi wamekimbilia Babati na Kosta yao na Semi lao,watapitia Hukohuko mpaka Dodoma kuelekea Dar,Mbona mnajizungusha ivyo,mngepita tu njia ya moshi mlio kuja nayo.
Mkome viherehere,na wewe hafsa na wenzako ze komedi na wote wasanii walioshiriki huku,mmejichongea jeneza,tukiwaona huku iwe club au wapi hamna bahati.
 
Back
Top Bottom