Mungu aonyesha ishara ya kuirudisha nchi kwa wenye uchungu na nchi yao..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mungu aonyesha ishara ya kuirudisha nchi kwa wenye uchungu na nchi yao.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Apr 2, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Ushindi wa Wa Chadema Arumeru Mashariki ni ishara tosha ya kuirudisha nchi hii mikononi mwa wateule na wenye uchungu na nchi.
  Uchaguzi wa Arumeru ilikuwa ni Vita kati ya Tajiri na Maskini,lakini Mungu ni Mungu,Na mipango yake si Mipango ya binadamu.
  Uchaguzi huo pia ni ishara tosha ya kuwa kifo cha Wanyonyaji, wafilisi wa nchi hii kuangamia,Watanzania,Wamechoka na wana hali ngumu lakini Mungu atatupigania.
  Hongera chadema ,hongera NASSARI.
   
Loading...