Willam malecela-wahi kuomba kura kwa nassari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Willam malecela-wahi kuomba kura kwa nassari

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ebaeban, Apr 2, 2012.

 1. e

  ebaeban JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 1,773
  Likes Received: 335
  Trophy Points: 180
  W. Malecela wahi kura ya ubunge wa afrika mashariki kwa NASSARI. Nassari mpe kura ya ndiyo William ni mtu wetu mwana jamii mwenzetu. Usimhukimu kwa ajili ndugu yake Lusinde alikutukana sana. Wiliam kamwonye ndugu yako Lusinde apunguze matusi ameaibisha Mvumi yote makulu , mission, Ndebwe, handari n.k. halafu tupe mrejesho kama umemonya.
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,521
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  keshamuomba kigwangwala na mama lwakatare?
   
Loading...