Viongozi wa CCM waondoka kimya kimya Arumeru usiku wa manane | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Viongozi wa CCM waondoka kimya kimya Arumeru usiku wa manane

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Landala, Apr 2, 2012.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 940
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  Viongozi na wabunge mbali mbali wa CCM walianza kuondoka kimya kimya jana usiku wa manane kurudi jijini Dsm baada ya kupata matokeo kuwa wamebwagwa na CHADEMA.Wabunge hao ni Lusinde,Ole Sendeka,Mwigulu Mchemba .
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Kwenye kuapishwa kule mjengoni pia watoke nje siku hiyo ili wasishuhudie
   
 3. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Walifikiri tume itawabeba. Ukibebwa jishikilie, wao wanasimamisha miguu lazima wadondoke tu.
   
 4. o

  omukajunguti Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magmba hayooooooooooooo!!! kudadeki yamesepa yameambulia haibu !
   
 5. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  hahahaaaaaaaa, walikuja kwa bwebwe mchana kweupee wameondoka usiku wa manane kwa kujificha, AIBU ZAO
   
 6. D

  Dume la kuku New Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wangefanyaje wakati wamepigwa mimba? wanaona aibu
   
 7. M

  MKALIKENYA JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,198
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 133
  Walidhani meru ni IGUNGA na izo ni mvua za rasha rasha.
   
 8. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,819
  Likes Received: 36,929
  Trophy Points: 280
  You can not run from yourself.
  Hapa arusha ukishabikia CCM unaonekana ni mshamba kama sii mwendawazimu.
   
 9. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 0
  Mawakala wao vp wamewalipa posho?
   
 10. M

  Mcjoe Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 71
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Signal sent to the watch tower, the machine is about to land. Please give way!
   
 11. Ishina

  Ishina Senior Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani lile Loli la TOT la kupiga ma-taraabu bado lipo Arumeru?!!
   
 12. m

  mvunjamiwa JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  aibu yao, aibu ya chama chao! wamevuna walichopanda. Ukifanya siasa za wehu matokeo yake ni kuwehuka! matusi hayakuhitajika kule!
   
 13. msadapadasi

  msadapadasi JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 18, 2011
  Messages: 504
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  DUUUH HII NIMEIPENDA.. eeeh watoke tena wote na spika wao, kwi.. kwii... kwiiii.....
   
 14. samito

  samito JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nawasihi wana- M4C wenzangu tusitukane... sisi ni watu wa maendeleo na sio matusi so waacheni hao magamba watumikie aibu yao
   
Loading...