Vigogo++ CCM Lakini Chali

Endangered

JF-Expert Member
Sep 22, 2011
922
228
Awali ya yote nimefurahishwa na maamuzi ya vijana wa Arumeru - Heko!

Well,
Don Mkapa Rais Mstaafu alikuwepo, Ufunguzi na Ufungaji.
Premier Waziri Mstaafu Edo Lowassa alikuwepo.

Achilia mbali kina watukanaji Lusinde,
Kina wabwatukaji Wassira
na kampani yao yote waliokuwa wanamnadi 'Kamata Mwizi Meen' aka 'Sioni'.

Kwa mwendo huu, licha ya masterplan ya wizi ambao huwa wanafanya, this is the begining of the end.
People's
 
ccm inabidi watambue kwamba kwa sasa mtaji wao wa wazee na wanawake unalekea kufilisika, maana walidai kwamba waliopiga kura walikuwa wazee na akina mama na siyo vijana. Hivyo kushindwa kwao kunaashiria kwamba hata hao wazee na akina mama ambao wamekuwa wakiwategemea wameshaichoka tayari.
 
Propaganda za CCM zinafikia mwisho,na wajifunze kuwa Watanzania wamewachoka
bila kudai umri wala jinsia.IMEKULA KWAO...2015 hiyooooooooooo.yaja.
 
Awali ya yote nimefurahishwa na maamuzi ya vijana wa Arumeru - Heko!

Well,
Don Mkapa Rais Mstaafu alikuwepo, Ufunguzi na Ufungaji.
Premier Waziri Mstaafu Edo Lowassa alikuwepo.

Achilia mbali kina watukanaji Lusinde,
Kina wabwatukaji Wassira
na kampani yao yote waliokuwa wanamnadi 'Kamata Mwizi Meen' aka 'Sioni'.

Kwa mwendo huu, licha ya masterplan ya wizi ambao huwa wanafanya, this is the begining of the end.
People's
BWM na EL wamevuna walichopanda, walijua kitakachotokea lakini ni ubabe wao ndio umewafanya kwenda kupiga kampeni
 
Kifo cha CCM ndiyo kimeaanza, upinzani sasa wanakalia viti Arusha Mjini, Arumeru Mashariki, Hai, Moshi Mjini na Vunjo kwa Mweshimiwa Mrema.... poleni CCM
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom