Statesmen (marais wastaafu) - wabaki washauri wa jumla kwa siasa za ndani. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Statesmen (marais wastaafu) - wabaki washauri wa jumla kwa siasa za ndani.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kifuniboy, Apr 2, 2012.

 1. k

  kifuniboy Senior Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hainingii akilini kuona rais mstaafu anapanda jukwaani na kuanza kumnadi mgombea ubunge. Nionavyo mimi ni busara zilizojaa kuwa washauri wa jumla wa namna nchi yetu inavyo weza kustawi kwa kujali uongozi bora. Hii itatoa nafasi nzuri kwa vyama vyote vya siasa kupata mwanya wa kuzungumza na vyama vyote kwani nina amini lengo letu ni moja la KUJITAHIDI KULETA USTAWI WA WATU NA NCHI YETU KWA UJUMLA. ALIESTAFUU HATAKUWA TENA ANAJALI CHAMA CHAKE TUU BALI RAIA WAKE WOTE.

  MAWAZO YANGU HAYA YANALENGA HASA KWENYE UHALISIA WA RAISI HASA MSTAAFU KUWA NI MTU WA WATU WOTE HASA KAMA DHAMIRA YAKE ILIJENGENKA KATIKA KULETA USTAWI WA WATU WAKE WOTE.

  NISIMALIZE UTAMU ILA NINAOMBA MAWAZO KWENYE U-STATESMAN WA WAZEE WETU BAADA YA KUSTAAFU.

  NAWASILISHA
   
Loading...