Mil 50 kwenye kampeni za chaguzi ndogo zinafuatwa kweli? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mil 50 kwenye kampeni za chaguzi ndogo zinafuatwa kweli?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulimakafu, Feb 24, 2012.

 1. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #1
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Jana 23/02/2012 nilimsikia msajili wa vyama vya siasa Bw. John Tendwa, akisisitiza kuwa kuwa katika chaguzi ndogo ikiwemo ijayo ya Arumeru Mashariki ni lazima vyama vya siasa vifuate kanuni ya matumizi katika kampeni isizidi milioni 50.Kwa uzoefu wangu kidogo wa chaguzi ndogo kama ilivyokuwa Igunga mwaka jana fedha ilimwagwa sana na hutukumsikia akikemea au kufanya lolote,kwa sasa litawezekana?
   
 2. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #2
  Feb 24, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Tendwa ana matatizo ya akili........msameheni bure,
   
 3. F

  FUSO JF-Expert Member

  #3
  Feb 24, 2012
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 11,867
  Likes Received: 2,340
  Trophy Points: 280
  Si kosa la Tendwa hili ni tatizo la kikatiba, Rais wa nchi kuchagua watawala katika mihimili mikuu na idara zake. sasa ukizingatia yeye ni mwenyekiti wa chama twawala - lazima hawa jamaa wanaopata vyeo hivi wawe makada ili wampendezeshe bosi wao kama unavyoona namna Tendwa akiwa kazini.
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Feb 24, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Kweli inahitaji msamaha.
   
 5. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #5
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Watanzania kwa hakika tunatakiwa tuwe makini sana ili tupata katiba nzuri itakayotutoa katika hizi sarakasi.
   
 6. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #6
  Mar 6, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Maandamano tu ya kwenda kuchukua fomu za kugombea nadhani yatapuita nusu ya hizo.
   
 7. tindo

  tindo JF-Expert Member

  #7
  Mar 6, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 10,157
  Likes Received: 10,361
  Trophy Points: 280
  Hii sheria haiufuatwi na wala haitakaa ifuatwe maana ni hatari kwa CCM, wao ndio wasiokubalika kwahiyo usitegemee wataifuata wakati wao ni lazima wahonge ndio washinde tena kwa kulazimisha.
   
 8. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #8
  Mar 6, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  sioi nasikia alishamaliza 100 kwenye maoni au hiyo haipo kwenye hesabu?
   
 9. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #9
  Mar 6, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  chadeam mbona walitumia zaidi ya mil 60 kule uzini mbona hakuwawajibisha? Tendwa?
   
 10. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #10
  Mar 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Hiyo Tendwa haihesabu mkuu.Nasikia mjumbe/mwanachama alikuwa anakula kati ya 100K-200K.Fikiria kwenye watu kama 800 ni ngapi zimetumika.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  Na mapesa yao ya ufisadi wamebwagwa.Hooiiiiiiiiiiiiiiiiiii..
   
Loading...