Wakati unaingia madarakani uliuhaidi umma wa watanzania, kutunga sheria ya kutenganisha biashara na siasa mapema iwezekanavyo. Ahadi hiyo uliitoa kwenye hotuba yako, uliyoitoa wakati wa kufungua...
Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kuipongeza sana timu nzima ya makamanda wa chadema na wananchi wa Arumeru kwa kuwapa raha watanzania kwa kufanya maamuzi yaliyo sahihi. Wana Arumeru...
Ya Arumeru yamepita kama yanavyosomeka sasa, Historia imejiandika. Wadau wa maendeleo yetu wenyewe tuliangalie hili na tuwashauri hao wenye kuhusika watafute njia ya kunusurui hali hii...
Ipo sababu nyingine tofauti na "UDINI" iliyo
sababisha CUF isi simamishe mgombea Arumeru Mashariki?
Kama ni ukata mbona CUF imeweza kusimamisha mtu katika
kiti cha udiwani Tanga na wakashinda...
Kwa kweli siku hii imepelekea kila litakaloripotiwa kuonekana ni uongo, mfano mzuri ni tukio lililotokea mwanza.
Hebu ona jinsi mh. Zitto alivyopata shida kufafanua:
zitto zuberi kabwe ‏...
hivi wadau huyu jamaa nilimsikia mwanzoni kwenye kampeni za kura za maoni akiwa hamtaki sioi akimtaka sarakkya baada ya sioi kupitishwa sijamsikia tena kwenye kampeni au ndo ameshaielewa arusha...
Mwanzo wa kampein za uchaguzi wa ARUMERU tulishirikiana kutoa wasifu mbalimbali ya wagombea wetu na vyama vetu tuvipendavyo huku tukikashifu vyama vingine na wagombea wake, baada ya kura kupigwa...
Kama kuna vitu vimeniudhi jana ni hili la Watanzania kuuiona CCM kila mahali kama jinamizi fulani hivi. NImewaambia matokeo hayabadiliki watu "what if what if!". Imefika mahali CCM ikikohoa watu...
WanaJF
Niaonavyo mimi, mwisho wa CCM umewadia. Baadhi ya viashilia ni:
1. Wameanza kuweweseka
2. Wanagombana wenyewe kwa wenyewe
3. Wanapeana sumu
4. Wameanza kutumia mapanga
5. Hawana hoja...
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa
Hivi hawa magamba wa CCM wanajisikiaje baada ya kucharazwa bakora za ushindi na peoples? Ni fedhea kubwa kwa Mzee Mkapa,Lowasa,Yule jamaa wa Bunda pamoja na wengine wote.Aibu...! Hata hivyo...
Naona baadhi ya wana JF wanajaribu kujiuliza kilichoiangusha CCM Arumeru. Ukweli ni kuwa hata hizo kura chache walizopata CCM wamejitahidi sana. Mara nyingi ushindi wa CCM hutokana na hujuma...
Wana JF hili limenijia akili kumbe CDM imechora mstari kanda ya Kaskazini. Karatu-Arusha mjini-Arumeru Mashariki, Hai, Moshi mjini. Majimbo haya yote yamepakana. Ukienda kanda ya Nyanda za juu...
Nyerere alishindwa mambo mengi Kiafrika Mtu akishakufa siyo
vizuri kuusema ubaya wake
maana mwenyewe hayuko
kujitetea. Lakini anapokuwa
hai, hata kama ni uhai
unaosaidiwa na mitambo, bado...
Vijana waliokuwa na umri wa miaka chini ya 18 (<18) mwaka 2010 hawakujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura kwa kuwa umri wao ulikuwa chini ya miaka 18 kikatiba na taratibu. Vija hao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.