Siasa ndani ya ccm zimepauka mithili ya kipande cha kaniki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa ndani ya ccm zimepauka mithili ya kipande cha kaniki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MADABADA, Apr 2, 2012.

 1. M

  MADABADA Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi hawa magamba wa CCM wanajisikiaje baada ya kucharazwa bakora za ushindi na peoples? Ni fedhea kubwa kwa Mzee Mkapa,Lowasa,Yule jamaa wa Bunda pamoja na wengine wote.Aibu...! Hata hivyo peoples nao wachape kazi waachane na maandamano yasiyo ya lazima.Sidhani kama kuandamana kila siku ndo suluu ya matatizo ya watanzania.
   
Loading...