CUF Ifutwe haraka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF Ifutwe haraka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Apr 2, 2012.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ipo sababu nyingine tofauti na "UDINI" iliyo
  sababisha CUF isi simamishe mgombea Arumeru Mashariki?

  Kama ni ukata mbona CUF imeweza kusimamisha mtu katika
  kiti cha udiwani Tanga na wakashinda?

  Kuna haja ya kuwa na vyama vinavyo wagawa Watanzania kwa
  misingi ya dini zao?

  Huku sio kupandisha chuki?
  "Kwamba kwa kuwa wameru wengi dini flani,na sisi mizizi yetu
  ni dini flani basi hatuwezi kuwa wakilisha?"

  Kama dini ndio ilikuwa sababu ya kuto simamisha mgombea Arumeru,basi
  CUF ifutwe,kama sio,waseme kwanini.
   
 2. k

  kamili JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 714
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  bila ya shaka wana magamba wanakutumia. Kwa taarifa yako jimbo la arumeru halifungamani na dini yoyote.
   
 3. e

  enk Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Vijibweni Udiwani wamesimamisha mgombea na Maalim Seif akaja kuhitimisha Kampeni(TEMEKE)!! na wamekuwa wa pili na CDM ya tatu kulikoni Arumeru!? (KKKT NA RC wengi!?) huko Miraji, Ally, Mohammed na Abdallah hawawezi pigiwa kura? Acheni hizo Someni alama za nyakati TZ haina UDINI na UKABILA hizo itikadi zenu zitawaponza ndo maana mnameguka. Mulianza na JAMES MAPALALA (Muasisi) na wabara wengine wakristo UDINI ukapita mkawang'oa. Ni bahati yake jamaa anaitwa "HAROUN' Lipumba" siku wakijua kuwa nio AICT mzuri tena mzee wa kanisa, Mkutano utafanyika Usiku kama si Unguja basi Pemba na agenda itakuwa moja tu! "Kuwaondoa Makhafili!" NANI ANAUKIMBUKA MKUTANO WA NCCR WA TANGA WA KUMUADABISHA MREMA? Nini kilitokea!? Taa zilizimwa na kilichofuata ni balaa! Lakini walisahau kuwa Mrema ni KAMANDA/KOMANDO MKUU WA TAIFA WA SUNGUSUNGU hivyo anajua kukwepa hata Mishale, hawakumpata Meza kuu ndani ya giza totoro! Lakini ndo ilikuwa mwanzo wa kuondoka NCCR-MAGEUZI.
   
 4. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama una hoja ya msingi na ninaomba thread hii ifutwe kabisa. Mbona NCCR hawakusimamisha mgombea nao utasema wana udini? anyway mimi ni chadema lakini kwa hili unalowapa cuf haliwafai kwa sasa mbona igunga walimsimamisha mkiristo
   
 5. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Usipotoshe uma matokeo ya vijibweni CDM 802 na CUF 707 nani wa pili hapo

   
 6. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,185
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Acha magugu na ngano vikue pamoja, siku ya mavuno tutavuna ngano na magugu ni ya kuchoma moto!
   
 7. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mimi ni cdm hii naomba ifutwe
  huyu ni magamba analeta udini, tuwaache kwani umaarufu wa nccr tlp arumeru uko wapi? Tlp wamepata ngapi arumeru eti? Hata cuf wangeshiriki wangeambulia kama tlp!.
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Toa uongo hapa CUF imekuwa ya 3
   
 9. l

  lumbagengata Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  haijengi hoja yako hii, inaleta mtizamo wa mgawanyiko iondolewe!
   
 10. S

  SARAMBA Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHADEMA sisi tuko makini, hivyo CUF na wanamageuzi wengine tuachane nao. Ndugu yangu hapo umechemsha vibaya, jipange upya. Magamba kwanza maana bila wao inawezekana.
   
 11. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  umetumia vigezo vipi kudhani CUF wametumia kigezo cha dini kutosimamisha mgombea?
  Bila shaka mawazo yako ndiyo yanatakiwa kufutwa haraka sana!
   
 12. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  CUF ni CCM, walikuwa pamoja na Siyoi!
   
 13. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Acha uongo wewe... CUF wamekuwa watatu (3) pamoja na seif wao Tukawaonyesha mziki wa CDM ukoje, Nasema hivi CUF siyo wapinzani wa siasa katika taifa hili, Mimi kama kiongozi nilichukua jukumu la kuongea na viongozi wa CUF kuhusu vijibweni kuwa hawawezi waiunge CHADEMA mkono jibu nililopewa nikaamini CUF ni ccm b 100%
   
Loading...