Tlp na kura 18

NOT FOUND

Senior Member
Mar 14, 2011
158
59
HAWA JAMAA SIJUI WALIENDA KUFANYA NINI ARUMERU MASHARIKI, YAANI WAMEPITWA HADI NA AFP, SAU, DP ETC.

925_2282.jpg
 
Kwakweli kabla hujaamua kuogelea maji ni vizuri ukayapima kwanza, CUF waliyapima wakaona yamo shingoni ni vizuri wakati mwaingine wapinzani wakiona hawawezi kufanikiwa wakaweza kuwapa supoti wengine wa upinzani
 
Rejao wakati wa Kampeini alisema kwamba kampeini za CCM na TLP ndiyo zinavutia umati wa watu na mshindi atatoka kwenye vyama hivyo viwili. Sina uhakika kama aliyasema hayo kimahaba au ni kutokana na ufinyu wa akili zake!
 
somo la historia alilokuwa anawapa mrema , liliwakumbusha machungu wakaamua kumuonyesha kuwa hawahitaji hadithi za miaka ileeee ya vita
 
Rejao wakati wa Kampeini alisema kwamba kampeini za CCM na TLP ndiyo zinavutia umati wa watu na mshindi atatoka kwenye vyama hivyo viwili. Sina uhakika kama aliyasema hayo kimahaba au ni kutokana na ufinyu wa akili zake!

njaa mbaya sana!
 
Back
Top Bottom