Lusinde na kampeni za matusi umeambulia aibu kubwa

Makupa

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
5,032
2,554
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa
 
Lusinde ni rafiki wa JK ! Alitumika kumtoa Malecela
 
Mkuu, lusinde ndo jembe la magambaz, hawawezi kulitosa. Atabaki nani sasa?
 
peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeessssssssssss!
 
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa

Watimuliwe kwanza waliomuona anatukana na wakamuacha.......kwani hakuwa peke Yake
 
Lusinde asifukuzwe, na waongezeke kina Lusinde wengi zaidi huko ccm ili CDM tuzidi kuchukua majimbo kiulani kwa ujinga wao, nani anapenda kusikiliza mitusi?, nani anapenda kuona kina mama wakidhalilishwa waziwazi, nani anapenda kuona wanafunzi wakishuhudia maneno ya utumbo na ya kumomonyoa maadili yetu?, safi sana kwa sisiemu kukosa ubunge maana walijua ubunge unatolewa kama hisani, CDM iko juu.
 
Kushindwa kwa.ccm huko Arumeru kumetokana na wananchi kupiga kura za chuki dhidi ya ccm kutokana lugha ya ovyo aliyokuwa anatumia bwana Ludinde,hivyo basi ni wakati muafaka wa kumwajibisha huyu jamaa

hawawezi kumfukuza! wakifanya hivyo jimbo la Mtera litawatoka,hawawezi
 
Baada ya MB wa Mtera kuishiwa sera alianza kutoa sera za kumshagua SIOI ili kama kumpa lambilambi,kumpatia mshahara wa kuiongoza familia iliyoachwa na marehemu baba yake na pia kumfurahisha Rais KIKWETE,hakuishia hapo alianza kutoa matusi mazito kwa wapinzani wake husun chama cha CHADEMA,lkn nguvu ya umma imemfundisha kuwa hajui kusimama jukwaa na kunadi mgombea,naami jimboni kwake hakushinda ila alichakachua tu.HONGERA CDM,WATU WA ARUMERU MASHARIKI,VIONGOZI WA CDM,PIA NA MB MTEULE BW NASSARI,WITO WANGU FANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA BILA KUMSAHAU MUNGU.
 
Alaaniwe, azikwe mfu anayetembea. Matusi yake yamemrudi
 
CCM wamejifungua mtoto anaitwa Nassari JOSHUA. Move inayofuata sasa ni kumburuza Lusinde mahakamani akathibitishe matusi yake mahakamani.
 
Baada ya MB wa Mtera kuishiwa sera alianza kutoa sera za kumshagua SIOI ili kama kumpa lambilambi,kumpatia mshahara wa kuiongoza familia iliyoachwa na marehemu baba yake na pia kumfurahisha Rais KIKWETE,hakuishia hapo alianza kutoa matusi mazito kwa wapinzani wake husun chama cha CHADEMA,lkn nguvu ya umma imemfundisha kuwa hajui kusimama jukwaa na kunadi mgombea,naami jimboni kwake hakushinda ila alichakachua tu.HONGERA CDM,WATU WA ARUMERU MASHARIKI,VIONGOZI WA CDM,PIA NA MB MTEULE BW NASSARI,WITO WANGU FANYA KAZI KWA KUFUATA SHERIA BILA KUMSAHAU MUNGU.
Kwa mitusi ya huyu bwana, mm nadhani CDM iandae vijana huko Mtera jimboni kwake ili 2015, huyu bwana atoweke rasmi kwenye siasa za nchi hii, hatuwezi kuongozwa na wahuni. Kwa kinywa kichafu hivyo, atatunga sheria gani ikawa inafaa????
 
Si alikua anatambulisha bendi yake mpya Ya taarabu,sa mwanaume mzima tena mbunge mh badala ya kunadi sera unarusha matusi!!!
Thanx God Saivi pua anashikiwa yy
 
TUONGEZE JUHUDI 2015 TUWATOE WAREMBO JENGO JEUPE. SASA NI KAZI KWA KWENDA MBELE. MUNGU ANAJIBU MAOMBI
JANA NIMESALI SALA NDEFU SANA KUIOMBEA CDM AMENIJIBU SASA NAFUNGA KUOMBEA KIFO CHA CCM NA MAJAMBAZI WOTE. MUNGU AWAWEKE KWENYE GARI MOJA AFU WAPATE AJALI WAFE.WALITAKA KUTUMIA MSIBA WA BABA YAKE KAMA NJIA YA KUTAFUTA KUHURUMIWA KWISHNEI:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
CCM KWISHNEY CCM KWISHNEY CCM KWISHNEY KWISHNEY KWISHNEY
:rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
 
Back
Top Bottom