Wana JF tuwe fair, tulianza pamoja tumalize pamoja

Kima mdogo

JF-Expert Member
Sep 17, 2011
303
46
Mwanzo wa kampein za uchaguzi wa ARUMERU tulishirikiana kutoa wasifu mbalimbali ya wagombea wetu na vyama vetu tuvipendavyo huku tukikashifu vyama vingine na wagombea wake, baada ya kura kupigwa na matokeo kutangazwa kuna member machachari wametoweka ghafla ningeomba niwataje ili warudi tuje tusherekee ushindi kwa pamoja. (1)geniousbrain (2)mama porojo (3) radhia sweety (4).............(5)...............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom