Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mnafiki Sitta (SIX) ameumbuka Kirumba, na mnafiki Kilango kaumbuka Kiwira

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kashaijabutege, Apr 2, 2012.

 1. Kashaijabutege

  Kashaijabutege JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 2,699
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Samwel Sitta ameumbuka. Anne Kilango naye ameumbuliwa na wananchi wa Kiwira. Heko wana Kirumba na Kiwira.
   
 2. M

  Mzeenani64 Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  chadema tunajivunia nguvu ya umma..
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Safi saaana
   
 4. nice 2

  nice 2 JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 746
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Sitta toka lini akasimama jukwaani kumpigia mgombea campaign? kweli magamba yameshikwa kunako.
  Peopleeeeeessssssssssssssssssss
   
 5. Non stop

  Non stop Senior Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 29, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Pamoja na hujuma zote walizowafanyia CDM ili waanguke lakini aibu imerudi kwao.
  M4C for real in order to liberate people.Peeeeeeeeepleeeeeeeeee's................powerrrrrrrrrr.
   
 6. E

  ELX JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 259
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Ooh! Pongezi kwa chadema kwa ushindi wa madiwani na mbunge wa arumeru mashariki. Ni changamoto nzuri na cha msingi ni kusimamia maendeleo ya maeneo husika ili watu wawe na imani na chama!
   
 7. E

  ELX JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 259
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 60
  Hongera kwa msimamizi wa uchaguzi wa arumeru kwa kusimamia uchaguzi salama!
   
 8. C

  CLARK Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hawana jipya hao, kazi kwao na 2015.
   
 9. r

  rimoy Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  me naona ni serikali yote ya JK imeumbuka, kwani mawaziri wengi wametumika kwenye kampeni lakini wapiiiiiiiii, Peopleeeeeeesssssssssssssssssssss powerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
   
 10. Elisha Ray

  Elisha Ray JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 19, 2012
  Messages: 302
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hongereni sana CCM kwa kupunguziwa majukumu maana mmechoka sana na mmechanganyikiwa na hamfai na ni aibu kuitwa mwana-ccm siku hizi kwa kuwa mshakuwa tusi tayari. Namwomba Mungu aendelee kuwapunguzia majukumu kwa mtindo huu huu na azidi kuongeza watu wenye hofu ya Mungu maana nyie mmemkumbatia shetani na hamtaki kumwachia. Na ifikapo 2015 mkapumzike kwa amani.
   
 11. n

  nntare Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongera pipooooooooooooooooooooz power poleni wabunge wetu wa chadema kwa uharamia mliofanyiwa huko kirumba Mungu yu pamoja nanyi!
   
 12. L

  Luco2011 Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli ni kwamba, huwezi ukapingana na mkondo, CDM ni mkondo wenye kasi ya ajabu, adui( ccm) lazima azame tu..
   
 13. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Chadema, tumaini jipya kwa mustakabali wa taifa hili.
   
 14. Margwe

  Margwe JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 256
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu ukiwadhulumu jasho ya mtu howsover small hamna kupumzika kwa amani hata siku moja! Kwa hiyo they will pay hard price for majasho ya watu:rockon: at the point where they are most incapable!
   
 15. kanta

  kanta JF-Expert Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 343
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mimi huwa siku zote nasema kuwa Samweli Sitta si kiongozi anayeweza kuwa na sifa hizo anazopewa na watu mbalimbali, amekuwa mnafiki sana kutokana na msimamo wake kutokuwa thabuiti katika mambo mbalimbali.Anajua wazi kuwa hicho chama kwa sasa hakibebeki na ufisadi hauwezi kutokomezwa lakini bado amekomaa nao tu humo humo, ni yeye aliyewatosa wenzake walipoanzisha kwa pamoja chama cha Jamii na kukifanya kife kifo cha mende, ni yeye aliyezima mjadala wa RICHMOND bungeni.Kwa unafiki huo sita hajaitendea haki nchi hii, hayo aliyoyapata Kirumba ni matokeo ya dhambi hizo. Kwa upande wa kilango ni wazi kwamba si lolote na si chochote, ni mchumia tumbo tu, na alifanya makosa sana kwenda kwa Wanyakyusa kujifanya mwema sana sana kwa kukinadi chama cha mafisadi, kwa ufupi ni kwamba kule Mbeya ni moja ya sehemu ambazo mabadiliko yataanzia, hilo ni pigo la kwanza, wasubiri lingine linakuja.
   
 16. S

  Salakana New Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Siasa ndivyo zilivyo leo adui kesho rafiki.
   
 17. Jamani mbona si poa

  Jamani mbona si poa Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumekucha kazi tunayo ila tutaendelea kupambana hadi kieleweke.... tunajadili
   
 18. kilght

  kilght JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 626
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  tena huku kiwira tulimkuta anagawa rushwa kwenye jengo la saccos baada ya hapo ndipo tulipo letewa ffu walitupiga sana mabom
   
 19. Mwanahakij

  Mwanahakij Senior Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Six, kilango na sendeka, hawa wote wachumia tumbo tu!
   
 20. Mwanahakij

  Mwanahakij Senior Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawajui waendako!
   
Loading...