MWIGULU NCHEMBA (Campaign Manager) uko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

MWIGULU NCHEMBA (Campaign Manager) uko wapi?

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Tusker Bariiiidi, Apr 2, 2012.

 1. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Ndugu yangu Mwigulu Nchemba ulitamka tena kwa dharau hapa kwamba JUA LITATOKEA MAGHARIBI KUELEKEA MASHARIKI endapo CDM itashinda Arumeru uko wapi?
   
 2. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yuko hoi, anafikiria jinsi ya kuandika report ya uchaguzi mdogo Arumeru, atasema nini kwa mabosi wake!! alidhani kila mahali ni IGUNGA!!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Ingawa nimefurahia CCM kushindwa
  but ukweli Mwigullu Nchemba ni kifaa
  hata hizo kura alizopata Siyoi ni Mwigulu kwa kiasi kikubwa kasaidia
  vinginevyo angeshindwa kwa aibu....kubwa

  Mwigulu ana kipaji kikubwa mno cha siasa
  ana uwezo wa kuongea na kushawishi watu......
  ni aset kwa CCM.....
  wangekuwa na mgombea mzuri who knows....
   
 4. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,930
  Likes Received: 1,462
  Trophy Points: 280
  Mgombea mzuri hawezi toka CCM kamwe!
   
 5. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Well said!
   
 6. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Usininyang'anye maneno mdomoni dada
   
 7. nginda

  nginda JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 745
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Dont waste your time kufikiria mwendawazimu.
   
Loading...