Bye arumeru, serikali/wabunge kusini - korosho zinaozea ghalani mkulima hoi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bye arumeru, serikali/wabunge kusini - korosho zinaozea ghalani mkulima hoi!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by enk, Apr 2, 2012.

 1. e

  enk Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ya Arumeru yamepita kama yanavyosomeka sasa, Historia imejiandika. Wadau wa maendeleo yetu wenyewe tuliangalie hili na tuwashauri hao wenye kuhusika watafute njia ya kunusurui hali hii. Waliowaamini na kuwatanguliza wameshawaacha gizani sasa waamue wakikumbuka maneno ya wahengA bila kushupaza shingo zao kuwa KIMFAACHO MTU NI CHAKE! FIMBO YA MBALI HAIUI NYOKA! MTEGEMEA CHA NDUGUYE HUFA MASIKINI na ASIYESIKIA LA KUAMBIWA/mkuu................................... Hii nchi ni yetu na vilivyomo vyote tushirikiane kupanga namna ya kuvuvitunza bila kuwaachia zaidi hata hao tulowachagua watuamulie kila kitu NDO MAANA WANATUUZA BILA KUJUA. Nawakilisha.
   
 2. MMAHE

  MMAHE JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 831
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Huku wa2 wamekunywa MAJI YA BENDERA YA CCM, cjui mtawashauri nn. korosho zinaoza lkn ukifika uchaguzi wanasahau yote haya.
   
Loading...