Mwisho wa CCM waja: Wameanza kuweweseka!

Nyami2010

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
227
50
WanaJF

Niaonavyo mimi, mwisho wa CCM umewadia. Baadhi ya viashilia ni:

1. Wameanza kuweweseka
2. Wanagombana wenyewe kwa wenyewe
3. Wanapeana sumu
4. Wameanza kutumia mapanga
5. Hawana hoja mbele ya umma
6. Endeleza list.........
 
  • Thanks
Reactions: cmc
1.wanategemea kuiba kura na kutoa rushwa
2. Hawahofu maisha ya vizazi vijavyo wanajali matumbo yao, hi ni dalili ya kukata tamaa ya maisha.
3. Hawamwamini mtu asiye mtoto wa aliyewahi kuwa kiongoz, hi inadhihirisha dhana ya "like father like son". Lengo ni kuchungana.
 
Ona sasa eti viongozi wa CCM wameondoka Arumeru usiku wa manane. Ndg Nape, eti wamehujumiwa...Hizo ni dalili za kukata tamaa na kuweweseka kiukweli. Big up CDM!
 
Nilichogundua kadirisiku zinavyoenda ccm inapoteza uwezo wake, ila ukilinga nisha katika vipindi vyote vyamuhula ya Uraisi, kipindi cha kikwete kumetia fora!
..Nani wa kulaumiwa?
 
Inakufa kwa nguvu sana kama kivuli cha jua kipitavyo ndivyo kifo cha CCM kiijiavyo, nani alaumiwe hapo sijui, ugomvi wa jirani haunihusu ila nampa pole ya msiba tu
 
NAPE.........tafuta la kuongea kaka ilo alina mashiko........ha ha ha ha ha ha ha ha unachekesha sana nani awahujumu nyie na dola
 
CCM imefia mikononi mwa Kikwete. Mtandao wa Kikwete aliounda kuelekea uchaguzi wa mwaka 2005 akiwa na nia ya kuingia Ikulu kwa gharama yoyote hata kama hana uwezo ndio ulioua CCM. Mtandaoa huo uliengua watu wote wenye akili timamu na kuhakikisha kuwa watu wasiokuwa na akili tu (Yes men wa Kikwete) ndio wanaobaki CCM. le hii CCM straight to ICU; alitumia mabavu kidogo kubaki Ikulu mwaka 2010 lakini dawa yake bado iko jikoni tu.
 
3. Hawamwamini mtu asiye mtoto wa aliyewahi kuwa kiongoz, hi inadhihirisha dhana ya "like father like son".
Lengo ni kuchungana.

Kwa kauli hiyo mimi kama mimi sipo hivyo hao ni baba za wanasiasa wa siku hizi ntashangaa sana kuona vijana wao wako CCM mpaka leo nina ushahidi tosha wa vijana baadhi ambao baba zao ni CCM ya Nyerere na hawako CCM na wako CHADEMA nimewaona Hapo Arumeru Mashariki wakiwawa Mawakala wa CHADEMA na wanahasira kweli na CCM na wanachukiwa na CCM mbaya sana kwani CCM haikutegemea kuona Viajana wa Viongozi wakongwe wa CCM wameenda CHADEMA na hiyo ndio dariri nzuri ya 2015 twamsubilia January Makamba kama anaritaka Jimbo la bumbuli tena 2015 arudi CHADEMA
 
tatizo la uchu wa madaraka,makundi kuelekea 2015 sasa kimbembe kipo kwenye uchaguzi wao wa ndani 2012 mengi tutegemee kuyaona rip nyerere " zidumu fikra za mwenyekigoda wa chichiem
 
kifo cha maji ni kifo kibaya sana na hali ilivyo ndani ya ccm naifananisha na kifo cha maji maana maiti itaonekana baada ya kunywea maji na kuvimba ndio itakavyokua kwa ccm .
 
Ukweli, nami binafsi CDM ninawapa pongezi. Vijana amkeni tuiunge mkono CDM kwa nguvu zote. Kumbe peoples power inawork!
 
wajilaumu wenyewe kwa kushindwa kusoma alama za nyakati,means hawaendi na wakati.

kuna lijinga flani hivi humu kwenye jf lilisema cdm ikishinda arumeru litatembea uchi kuanzia ubungo hadi kimara haya sasa na lianze kutembea watu walione uchizi wake, ndio maana tunasema kuisapoti ccm lazima uwe mwendawazimu wa kutosha!
 
Kwa kauli hiyo mimi kama mimi sipo hivyo hao ni baba za wanasiasa wa siku hizi ntashangaa sana kuona vijana wao wako CCM mpaka leo nina ushahidi tosha wa vijana baadhi ambao baba zao ni CCM ya Nyerere na hawako CCM na wako CHADEMA nimewaona Hapo Arumeru Mashariki wakiwawa Mawakala wa CHADEMA na wanahasira kweli na CCM na wanachukiwa na CCM mbaya sana kwani CCM haikutegemea kuona Viajana wa Viongozi wakongwe wa CCM wameenda CHADEMA na hiyo ndio dariri nzuri ya 2015 twamsubilia January Makamba kama anaritaka Jimbo la bumbuli tena 2015 arudi CHADEMA

Kaka hao ni wa ccm ya nyerere , Jmaa anazungumzia CCM ya Mwinyi, Mkapa na Kikwete.
 
Kwa kauli hiyo mimi kama mimi sipo hivyo hao ni baba za wanasiasa wa siku hizi ntashangaa sana kuona vijana wao wako CCM mpaka leo nina ushahidi tosha wa vijana baadhi ambao baba zao ni CCM ya Nyerere na hawako CCM na wako CHADEMA nimewaona Hapo Arumeru Mashariki wakiwawa Mawakala wa CHADEMA na wanahasira kweli na CCM na wanachukiwa na CCM mbaya sana kwani CCM haikutegemea kuona Viajana wa Viongozi wakongwe wa CCM wameenda CHADEMA na hiyo ndio dariri nzuri ya 2015 twamsubilia January Makamba kama anaritaka Jimbo la bumbuli tena 2015 arudi CHADEMA
Hapo kwenye red,
Hivi aliondoka lini Chadema? tukumbushe tumesahau kidogo.
 
Mapepo ya sisisiemu yameshindwa ni aibu tu sisi tuna mungu waooo wanaela kushne kushne kikwete na serekali yako peopleeeeeeeeeeeeees poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeer
 
Wengi wa sapotaz wa ccm ni wazee amboaNdiyo mwisho wa maisha yao umefika aidha watakufa au hawatakuwa na uwezo wa kusimama jukwaani wakati CDM mtaji wao ni kwa vijana zaidi ambao wanaongezeka kila leo na hata wakizeeka hawahamii ccm, wapo kisasa zaidi, wanamtazamo wa mbele. ( Na maanisha kizazi cha hawa wenye miaka ya 80 kikiisha ndipo ccm itasaulika kabisa)
 
Ona sasa eti viongozi wa CCM wameondoka Arumeru usiku wa manane
song3.jpg
 
Back
Top Bottom