Rais wangu Kikwete, lini utatimiza ahadi yako? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wangu Kikwete, lini utatimiza ahadi yako?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Byendangwero, Dec 24, 2011.

 1. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wakati unaingia madarakani uliuhaidi umma wa watanzania, kutunga sheria ya kutenganisha biashara na siasa mapema iwezekanavyo. Ahadi hiyo uliitoa kwenye hotuba yako, uliyoitoa wakati wa kufungua bunge uliloingia nalo madarakani. Hivi leo ni takribani miaka sita na ihakuna dalili zozote zinazoonyesha dhamira ya utekelezaji wa ahadi hiyo. Rais wangu J.K miongoni mwa sera mbovu zinazochangia kuendelea kukua kwa ufa kati ya wachache walionacho na wengi walio hoe hae ni huu mfumo wa uongozi unao ruhusu mgangano wa maslahi liwe jambo la kawaida. hivi sasa ni jambo la kawaida kwa viongozi na watendaji waandamizi serikalini kutoa zaburi kwa makampuni ambayo wao ndiyo wanayo yamilki. Mtindo huo siyo tu unaondoa ushindani katika biashara, ambao ndiyo nyenzo kubwa katika kuchochea ufanisi, bali pia umechangia kwa kiwango kikubwa uchumi wa taifa kuwa chini ya hodhi ya kikundi kidogo. Ni kutokana na sababu hiyo nakusihi ufanye imma kutimiza ahadi yako, siyo tu ya kutenga biashara na siasa bali pia biashara na utumishi wa umma
   
 2. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sahau, kama Ahadi zingekuwa ni mikataba ya madini na kukwapua kodi za Watanzania angelitimiza zamani.
   
 3. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,816
  Likes Received: 330
  Trophy Points: 180
  Hahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!
  Watanzania ni watu wa ajabu kabisa!
  yaani bado kuna watu wanafuatilia ahadi za kisanii za kikwete??
   
 4. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Atasubiria sana kama watu wanavyomsubiria Jesus
   
 5. B

  BMT JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  jk kashndwa kwenda mikoan kuwashukuru wananchi waliomchagua anaogopa kuulizwa,thubutu,hyo ndo ****** cjui ni asili yao,hv ujue jk mwaka jana kaahdi ahadi nyngi ambazo haztekelezekeg kigoma kuwa kama dubai nk,usanii mtupu mtupu
   
 6. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Na wewe nawe! Acha kutuchekesha bana, nani atimize ahadi zake, m.kwere? Anazikumbuka basi?
   
 7. k

  kipinduka Senior Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  2nasubir ya mfuko wa saruj buku 5 kule mubara ukerewe
   
 8. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Koma wewe kumwambia rais wangu kutimiza vilivyo nje ya uwezo wake. Wewe hujui kwamba kipindi cha kampeni kwa tanzania hasa ukiwa ccm unaruhusiwa kudanganya umma wa watanzania? Tena narudia, koma kabisa kumsumbua rais wangu wkt yuko serengeti kwenye mapumnziko baada ya kazi ngumu ya kushindwa kutimiza ahadi zake. Koma kabisaaaaaaaaaaaaaaa
   
 9. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hahahaha, this should be in the jokes section!
   
 10. MwafrikaHalisi

  MwafrikaHalisi JF-Expert Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 1,746
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Amechoka kazi nyingi. Akigeuka huku migomo/maandamano, huku wauza mafuta wanazingua, mfumuko wa bei, mishahara hakuna, majanga kila siku, mara katiba mpya, kidogo kazomewa dah mtammaliza na presha!
   
 11. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,131
  Likes Received: 3,320
  Trophy Points: 280
  JK ni msanii, kitu chochote anachosema usichukulie serious.
   
 12. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nape anajua
   
Loading...