Watanzania wanaipa sana Credit CCM..hadi inaudhi! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watanzania wanaipa sana Credit CCM..hadi inaudhi!

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 2, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kama kuna vitu vimeniudhi jana ni hili la Watanzania kuuiona CCM kila mahali kama jinamizi fulani hivi. NImewaambia matokeo hayabadiliki watu "what if what if!". Imefika mahali CCM ikikohoa watu wanapiga magoti na kuamkia "shikamoo". Matokeo yalikuwa yanajulikana kwa mtu yeyote ambaye angetaka kuyajua masaa zaidi ya kumi na mbili kabla. Lakini watu wakabakia kufikiria "labda watachakachua". Well, kuchakachua kunawezekana unapowapa credit mno; ni kana kwamba huweiz kuwazuia.

  Makamanda wa CDM na wengine waliofanya kazi ya ajabu ya counter intelligence na vijana ambao hawakuchoka waliamini CCM inaweza kuzuiwa na vyombo vyake kupigishwa marktime. Wananchi wasiogope ving'ora na saluti, wasiogope kelele na TBC; kinachozungumza ni kura tu!! Ndio lugha pekee ambayo watawala wanaielewa!

  Jamani CCM ni wananchi kama sisi!!! fungukeni; msiidharau wala kuudharau uwezo wake lakini msiifanye kana kwamba ina nguvu fulani ya Kimungu! HAINA. Arumeru Mashariki wamethibitisha.

  Wacha na miye nipumzike.
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Mkuu MMM
  Asiyekuelewa tena ni aheri afungwe jiwe kubwa la kusagia shingoni atupwe baharini!
   
 3. MBUTAIYO

  MBUTAIYO JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 532
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Tumekuelewa mkuu,
  Tusamehe bure, sasa umetupa nguvu mpya. Si unajua tena mtu anavyohangaika kuuangusha mbuyu?
   
 4. i

  isoko Senior Member

  #4
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 186
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kweli kabisa mzee mwanakijiji ulichosema ni sahihi tutegemee mabadiliko makubwa kuelekea 2015
   
 5. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Watu walikuwa hawaamini kutokana na majamaa mabingwa wa kuchakachua safari hii wamebanwa kwenye mtego wa panya
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,828
  Likes Received: 10,135
  Trophy Points: 280
  Wako wapi wale wana-CCM waliotukana na wale waliotumiwa hapa jukwaani kutukana? sijaona hata mmoja, ziko wapi mimba za Chadema alizzisema Lusinde? Wako wapi Mashoga aliowasema Lusinde? Uko wapi uchungu aliousema Lusinde dhidi ya Mbowe? Uko wapi Ubabe wa Lusinde kwa Mzee Slaa kuwa anaweza kumpiga ngumi moja tu? Uko wapi ule ukosefu wa akili ulionyeshwa na viongozi hawa wa CCM??????? Hakika malipo mengine hulipwa hapa hapa
   
 7. Suzie

  Suzie JF-Expert Member

  #7
  Apr 2, 2012
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 1,264
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona unakosea unaposema watu sema baadhi ya watu ban
   
 8. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  ..'CCM Si Mama Yangu'.. - Julius Kambarage Nyerere
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  MMM ile thread yako imenifanya nisilale

  Asante sana MMM God bless kazi yako nimekugongea LIKEs 2000
   
 10. Antonov 225

  Antonov 225 JF-Expert Member

  #10
  Apr 2, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  tahadhari muhimu lakini ,zile tahadhari za kishujaa na si za kufyata mkia kwenye haki yako. Let chadema share the tricks to counter theft to all of us so that we practice it earlier b4 next elections in all constituencies. Tunamshukuru Mungu kwa kweli
   
 11. qq.com

  qq.com JF-Expert Member

  #11
  Apr 2, 2012
  Joined: Jan 9, 2012
  Messages: 370
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Heshima kwako
  mmojawapo wa ambao hawakuaini taarifa yako jana ni mimi,
  MMM nakuomba utambue hoja hii kuwa mara nyingi CCM hushindwa katika chaguzi nyingi lakini hutumia ubabe kutangza matokeo kama wanavyotaka.hili halina ubishi.

  hivyo watu wengi tupo katika mlengo huo
   
 12. Pipiro

  Pipiro JF-Expert Member

  #12
  Apr 2, 2012
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 307
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Big up and I salute you MMJ... Watu walikuwa wamepoteza imani wakiamini kuwa CCM ina kila mbinu za kuiba lakini imedhihirisha kuwa kama CCM wakibanwa wanakuwa hawana la ziada.. Mara nyingi watu wanakuwa defeated kabla hata ya mpambano haujaanza. Arumeru Mashariki wametoa Mwanza na Songea wametoa mwanga halisi kuwa sasa CCM imeishiwa na wananchi hawadanganyiki tena.

  Sasa ni wakati mwafaka wa CDM kujipanga kwa mikakati kabambe ya chaguzi zijazo kama Segerea na mingineyo kuelekea uchaguzi wa 2015. Wasikubali kuingiza mamluki na kuchanganywa na hoja za Zitto na wengineo wanaotaka kuvuruga utulivu na mikakati kabambe ya kuchukua nchi.

  Yes, CDM can change this country. Viva CDM
   
 13. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #13
  Apr 2, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Mzee Mwanakijiji....CCM wamepoteza Jimbo moja na CDM wameongeza Jimbo moja, "financial" Ruzuku ya CCM itapungua kwa shillingi ngapi?
   
 14. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #14
  Apr 2, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Sina la kusema kwa kweli.
   
 15. Avocado

  Avocado Member

  #15
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 98
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sisiem imewabrain wash watanzania kwa muda mrefu,sasa wameanza kufunguka,its a good start.
   
 16. Entrepreneur

  Entrepreneur JF-Expert Member

  #16
  Apr 2, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 1,092
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Watanzania wengi walikuwa wamekata tamaa, kwani wameshazoea kuona sauti yao (KURA) haisikilizwi, na hata wanapotaka kuchukua hatua bado inakuwa haina tija kwan wanakutana na GHADHABU ya DOLA inayoongozwa na CCM.Na ndio maana wanamuona huyu CCM kama MZIMU hivi, hivyo kuendelea kuipa credit zote (hata isizostahili). Lakin....Lakini matokeo kama haya ya ARUMERU ndio yanayoamsha ARI na HAMASA mpya kwa wale walio kata tamaa, na kuona kuwa INAWEZEKANA. Hakika uongozi wa CDM wanastahili pongezi kwa hili, kwani wao hawajawahi kukata tamaa na sijui kama watakuja kukata.

  We all know the pain we can feel after a difficult loss, or even the joy we feel after a great win. This game (uchaguzi) is one of joy and pain. If you want to feel the joy, you must be willing to suffer
  . Sasa watu wameshaumia vya kutosha mpaka wengine wakakata tamaa kabisa kwani kwa ushindi wa 7-0, katika chaguzi ndogo, haileti matumaini kabisa, lakini wengine hawakukata tamaa na ndio maana leo hii score board inasoma 8-1

  Ushindi huu wa Arumeru una maana kubwa zaidi ya JN kuingia bungeni,

  Ushindi huu wa Arumeru una maana kubwa zaidi ya kumbe inawezekana hata kijana kutoka familia ya kimasikini akapewa nafasi.

  Na maana iyo itaonekana kwenye UCHAGUZI MDOGO wowote utakaojitokeza TANZANIA BARA. (
  Read my Lips MM, hizo credit CCM walizozoea kupewa zitapotea kabisa
  )
   
 17. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #17
  Apr 2, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Mzee MM,

  Natamani sana haya ungetutumia kabla ya kupiga kura maana hata mimi yamenipa nguvu fulani.... Nadhani hata wewe umekubali kuwa CDM ni peoples power.....
   
 18. Kyaiyembe

  Kyaiyembe JF-Expert Member

  #18
  Apr 2, 2012
  Joined: Dec 1, 2011
  Messages: 1,569
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mh. MMJ
  Pole sana kwa juhudi zako lakini usife moyo, hata Yesu Kristo alikuwa na kumi na wawili tu lakini hawakumwamini wote sembuse wewe unayewasilisha kwa mamilioni!.
   
 19. B

  Bobuk JF-Expert Member

  #19
  Apr 2, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 5,876
  Likes Received: 481
  Trophy Points: 180
  Mkuu MMM ni lazima watu tuwe SKEPTICAL kutokana na historia ya UJAMBAZI wa kupoka haki za Watanzania unaofanya na CCM. waswahili tuna msemo ukiumwa na NYOKA basi hata ukion ujani ...........

  Nitakupatia incidence ya UJAMBAZI iliyowahi kufanywa na CCM ambao utabaki katika historia ya nchi hii.
  Uchaguzi wa 2000(?) kule Zanzibar baada ya kuona CCM imeelemewa, kwa kutumia POLISI walienda kunyakua masanduku ya kura kwa wasimamizi wa uchaguzi kwa mtutu wa bunduki na kuyapeleka kusikojulikana. Baada ya week mbili SOLID, Chama cha upinzani CUF wakaitwa waende kwa RC kuhesabu hizo kura zilizo pokwa kwa mtutu wa bunduki two weeks ago! Unajua nini kilitokea CUF walikataa kushiriki UJAMBAZI huo, ZEC ikawatanmgaza WAGOMBEA iliyowataka and the rest is history.

  Je chama chenye historia ya aina hii kwanini watanzania wasiwe SKEPTICAL nacho? Ndicho ndio kiini cha wasiwasi wetu hata baada ya kuwa matokeo yamejulikana. Remember what happened SHY 2010? Kwanza Mkurugenzi wa uchaguzi alimtangaza mgombea wa CDM mshindi, lakini baadaye akabadilisha matokeo na kumtangaza mgombea wa CCM mshindi tena MSHINDI KWA KURA MOJA ZAIDI. Ndiyo maana watanzania wanakuwa SKEPTICAL, CCM is a mafia anda state party
   
 20. M

  Mzawa Halisi JF-Expert Member

  #20
  Apr 2, 2012
  Joined: Feb 25, 2009
  Messages: 500
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35


  Umesomeka.
   
Loading...