Kwanza nakiri kuwa habari hizi ni tetesi, na ndiyo maana nimezainisha vilivyo. Ni habari nizopata kutoka kwa mtu ninayefahamiana naye katika Tume ya Uchaguzi (NEC) katika ngazi za juu. Hivyo...
Ndg zangu Kwanza Nitumie nafasi Hii Binafsi kuwapongeza Chadema kwa Ushindi Wa Arumeru Mashariki,Kiwira,Kirumba,Liziboni na Pia Cuf kwa Ushindi Wa Kata ya Tanga
Nimeamua kufanya hivi kwa...
Wana CDM Tumeshinda Arumeru nimeandika kichwa cha habari hapo juu kwa maksudi maalumu ili tuweze kujua tatizo letu ni lipi. Hakuna kificho ukweli ni kwamba chadema ndio chama chenye wanachama...
Wana JF na wana mageuzi wote mimi naona kama kuna shida kidogo ya kimawasiliano, kwa kuwa tangu jana ambapo makamanda wetu wamepelekwa mhimbili kwa kuumizwa na ccm hatuja pata updates isije ikawa...
Nimesikia ITV wakanza kuuliza maswali elekezi mfano "hivi kweli matokeo yatatoka leo au tusubiri hadi kesho"
Mzee Masako another failure maana mlianza asubuhi kwa kusema hatutatoka hapa mpaka...
Pongezi za CCM kwa ushindi wa Nassari ni unafiki wa kuficha uharamia ambao CCM wamewafanyia wabunge na wafuasi wa Chadema huko Mwanza. Kama pongezi hizo zingekuwa za dhati wangetoa pole na kujutia...
WAKUU!
DR W.P.SLAA. sherehe za ushindi wako tutafanyia wapi? make kwahali niliyoiona leo pale LEGANGA! wakati wa sherehe za ushindi wa JOSHUA NASSARI! watu walikuwa wengi sana pamoja na ile mvua...
Gazeti la raia mwema liliandika kuwa Arumeru ni mpambano kati ya mtandao wa fedha na Dr Slaa. Pia hapa jamvini kuna watu wanasema kuwa 2015 ni mapambano kati ya Lowasa na Dr Slaa. Je, haya ni ya...
Prof Mark Mwandosya, waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mbunge wa Rungwe Mashariki na Mjumbe wa Halmashauri kuu ya Taifa CCM, amefunguka na kutoa waraka murua na wa ukweli kuhusu demokrasia. kitabu...
Mimi kwa mtazamo wangu nimekuwa nikimsikiliza sana Mkuu wa chuo cha St.Augustine Dr. Charles Kitima, naona huyu bwana ana vision nzuri kwa taifa hili la walalahoi, natumia jina la walalahoi kwa...
Na mimi katika kuwasapoti, naanzisha operesheni maalum ya kufungua ofisi za matawi ya CHADEMA katika kila kata wilayani MKURANGA....2015...........MALIMA.....(wa ccm)..OUT...!!!
Pipoz...
Jamani kata hii ya daraja mbili katika manispaa ya Arusha haina diwani kwa muda wa miezi mitano sasa. Hii ni kutokana aliyekuwa diwani wa ccm kufariki dunia mwaka jana.
Kwanini tume ya uchaguzi...
Nape kwa niaba ya ccm amejitokeza kumpongeza Nassar lakn hii inatafsir gan ukzngatia na maneno ya kashfa waliyotoa dhid ya Nassar,Nape anasema uchaguz ulikuwa huru na wa haki wakat wao wali2mia...
Baada ya matokeo ya uchaguzi Arumeru kuthibitisha kuwa Chadema ndio chaguo halisi la wananchi, tukumbuke kauli zenye utata zilizokuwa zikitolewa na baadhi ya MAWAKALA WA CCM
John Tendwa msajili...
Tumeshuhudia ktk uchaguzi mdogo Arumeru jinsi nguvu ya umma ilivyofanya kazi kupata mbunge stahiki. Watanzania yabidi tujifunze kutoka jimbo la Arumeru mashariki kwamba hakuna kinachoshindikana...
Tulipodhani dharau, matusi, kejeli na jeuri ya pess kama ni njia ya kushinds uchaguzi kumbe wenzetu waliliona hilo na kuamua kusema ukweli wa mambo jambo lililowafanya wameru wale wawaamini.
Siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.