Mkuu wa mkoa arusha magesa mulongo

mchambuzixx

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
1,292
943
hivi wadau huyu jamaa nilimsikia mwanzoni kwenye kampeni za kura za maoni akiwa hamtaki sioi akimtaka sarakkya baada ya sioi kupitishwa sijamsikia tena kwenye kampeni au ndo ameshaielewa arusha ikoje au yeye kaletwa pale kuja kumdhibiti lowasa tu maana tofauti na RC wengine huyu alikuwa kimya na wala alikuwa hatajwi kwenye mikutano ya chadema wala kuingilia uchaguzi...magesa vipi kiongozi au hukutaka lawama maana tulizoea vitisho kutoka kwako mwanzoni au kiboko yako ni lemaaa nini...pole kaka
 
huyu ni kasuku kama wenzake wa mikoa mengine, huu ushindi wa Nassari ni zawadi ya pasaka kwa watz wote wanao pigania mabadiliko hapa Tanzania, na ukweli tuachane ukasuku kama tbc1 na magazeti yote ya ccm.
Hii aibu na unafika umeshawamaliza.
cdm isonge mbele daima.
Nawashukuru wameru kwa zawadi ya pasaka.
 
alishaona upepo unaelekea wapi maana anaishi nao...waliobaki akina andengenye ni wafyata upepo kibenderabendera
 
Back
Top Bottom