Hongereni c hadema mmenyoosha mistari

Mbalinga

JF-Expert Member
Apr 9, 2010
1,714
1,370
Wana JF hili limenijia akili kumbe CDM imechora mstari kanda ya Kaskazini. Karatu-Arusha mjini-Arumeru Mashariki, Hai, Moshi mjini. Majimbo haya yote yamepakana. Ukienda kanda ya Nyanda za juu kusini, Anzia Mpanda-Mbozi Magharibi-Mbeya-Iringa. Najua Njombe na Songea zitaunga tu. Ukienda kanda ya ziwa; anzia Musoma-Mwanza-Shinyanga(Kama isingechakachuliwa) Sasa tunatakiwa yuunganishe kwenda kupakana na Tundu Lissu na kuunganisha mpaka Dodoma.

Saa ya ukombozi imefika, hebu uchaguzi wa serikali za mitaa mwakani ukaonyehse taswira halisi ya siasa mwaka 2015.
 
Upande wa mashariki tumeanzia KAWE,UBUNGO tunaelekea KINONDONI,ILALA,SEGEREA,UKONGA, KIBAHA,ULANGA,KILOSA,MOROGORO,MVOMERO.
 
Back
Top Bottom