THE GEEK
Member
- Dec 10, 2010
- 90
- 32
Kwa kweli siku hii imepelekea kila litakaloripotiwa kuonekana ni uongo, mfano mzuri ni tukio lililotokea mwanza.
Hebu ona jinsi mh. Zitto alivyopata shida kufafanua:
Hebu ona jinsi mh. Zitto alivyopata shida kufafanua:
zitto zuberi kabwe ‏ @zittokabwe
mbunge wa ilemela ndg. Kiwia amepigwa mapanga usiku wa kuamkia jana na kundi la watu wanaodhaniwa ni wa #ccm. Amelazwa bugando @jamiiforums
zitto zuberi kabwe ‏ @zittokabwe
this isnt april fool. Ndg. Kiwia kapigwa mapanga, amelazwa. Ndg. Machemuli wa ukerewe naye kapigwa. Inasikitisha sana nchi yetu inafika hapa
zitto zuberi kabwe ‏ @zittokabwe
@nanyaro_ guys i dont entertain this fool thing. Tupo hospitali ndg. Kiwia amejeruhiwa kwa mapanga